kibao cha mbuzi
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 507
- 493
Ni kweli fundi wa mwisho aliniambia ninunue machine ya ndani kwa 50 ama 60 ila siku amini nikadhani kuna m'badala kwa programming:! Ila shukrani maana humu jf ni kisima cha fikra na solution ndio hiohio ya circut nta badilishaTecno W3 pamoja na W4 zina huo ugonjwa wa kuzima ghafla, kuwaka pale zinapojickia au kuleta multi colours kwenye screen as if screen ni mbovu but same screen ukiweka kwenye cmu nyingine inapiga kazi vema tu... SOLUTION.. ukihangaika nayo hyo itakupotezea tu mida na real solution ni kubadilisha circuit ambapo inapatikana kwa elf50 k koo mpya kabisa au ukipitia kwa mafundi utaipata kwa bei pungufu kidogo au unaqeza kwenda tecno service centre na watakuuzia hyo kwa elfu80 na unaacha cmu kwa muda wa cku3 then watakujulisha
yaan kubadili rangi ya kioo au kioo chote na kwan kina shida gani hicho. Na bei ya kioo kama ndio unachotaka kubadili ushajarbu kuulzia bei yake au ndio tayar ushakpata unataka fundi wakukibadili?Habari zenu mafundi, ninahitaji kubadili kioo cha iphon 7 plus white kwenda kwenye black.
yaan kubadili rangi ya kioo au kioo chote na kwan kina shida gani hicho. Na bei ya kioo kama ndio unachotaka kubadili ushajarbu kuulzia bei yake au ndio tayar ushakpata unataka fundi wakukibadili?
mafundi wazuri wapo ishu ni kwamba wewe uko wapi,????Natafuta fundi mzuri..Nina Sony yangu haiwaki ila chaji inaingiza
mafundi wazuri wapo ishu ni kwamba wewe uko wapi,????
Ntapata wapi hii kioo mkuu kariakoo nilishindwa bei