Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Simu ya tecno kuzima kabisa au kuwaka na kuishia kwenye logo ya tecno tatizo ni nini?
 
Simu Samsung C7 lakini mara nyingi phone memory inagoma huku inaonesha ina 64gb
 
Mkuu nina maswali mawili.

1. Nina Tecno yangu ya R6 ambayo line moja iko locked yaani ni tigo tuu, na line nyingine ipo unlocked, line ya tigo ina support 4G na hii ya pili ni 2G, je naweza ku upgrade hii ya pili na yenyewe iwe 4G? Na je nawezaje ku unlock line ya kwanza ili ibebe line zote?

2. Nina simu yangu pia aina ya Huawei W1, ni windows phone, hii nikiwasha inaonesha vi ring viwili, yaani vi ring kama vya setting, Je tatizo ni nini? Pia nawezaje kui flash?
nenda kwa fundi mzuri anaeflash matatizo yako yote yatakwisha hilo la r6 ni dk5 tu
 
Ndugu zangu mimi TECNO W4 zinazoishia tecno zinanigomea sana hebu mwenye working file anipe
 
Habari za wakati huu wakuu,simu yangu HTC DESIRE 816 imepata tatizo ambalo nmeshindwa kulielewa,ni kwamba simu inakuwa hewani,na sensor ya kioo inafanya kazi ila nikiiwasha au mtu akinipigia haionyeshi chochote. So mtu akinipigia nkigusa sehemu ya kupokea naweza kupokea na nkaongea nae sema ndo hivyo siwezi kuona nani kapiga. Naombeni msaada linawezakuwa tatizo gani,suluhisho lake ni lipi pia!? Maana nmeshaenda kwa mafundi kama watatu hakuna aliyeweza kuitengeneza.
Ahsanteni.
 
Back
Top Bottom