unatoa icloud chief nikuletee kesho iphone 5s ?Nipo hapa kwa ajili ili kutatua matatizo yenu yote yanayouhusiana na simu smartphone na feature phone
unatoa icloud chief nikuletee kesho iphone 5s ?
ujajibu swali unaweza kuitoa lock au hauwez ?Hyo 5s ni ya kwako
Huyu dogo atakuwa ni m BK kama sijakosea sasa hivi kiofisi Chake kipo pale nyuma ya vijana karibu na waosha viatu baada ya kubomolewa pale flem za vijanaKabandiko kako kamekaa ki arrogant! Wee kabila gani?
nenda kwa fundi mzuri anaeflash matatizo yako yote yatakwisha hilo la r6 ni dk5 tuMkuu nina maswali mawili.
1. Nina Tecno yangu ya R6 ambayo line moja iko locked yaani ni tigo tuu, na line nyingine ipo unlocked, line ya tigo ina support 4G na hii ya pili ni 2G, je naweza ku upgrade hii ya pili na yenyewe iwe 4G? Na je nawezaje ku unlock line ya kwanza ili ibebe line zote?
2. Nina simu yangu pia aina ya Huawei W1, ni windows phone, hii nikiwasha inaonesha vi ring viwili, yaani vi ring kama vya setting, Je tatizo ni nini? Pia nawezaje kui flash?
icloud sio kwamba haitoki watu wanshindwa beunatoa icloud chief nikuletee kesho iphone 5s ?
kwa bei gan kutoaicloud sio kwamba haitoki watu wanshindwa be
premium service ni usd 200kwa bei gan kutoa
$200 mkuu au lak 2 ?premium service ni usd 200
Mkuu nisaidie fake charging tecno C8,C9 na L5mimi mwenyewe sijasomea electronic lkn simu naflash vzr tu nilikuwa naingia google how to flash wanaelekeza
usd 200$200 mkuu au lak 2 ?