Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Kwa sensor hapo umemaanisha touch au!
 
Hizo machine ninazo unataka PC ngapi?nicheki Kwa namba hii0755630846,we unaye taka c5,w3
 
Iphone hii ina tatizo hili limepatikana baada ya kuresetView attachment 639304
simu yako imefungwa kwa network lock yaani haiwezi tumia simcard za hapa mpaka ifanyiwe factory unlock
hatua ya kwanza lazima ujue imetoka nchi gani carrier alikuwa nani?/
mfano UK carrir ni o2 au Vodafone

kama hufahamu utalipia tsh 5000 utatuma imei no... kisha tutajua carrier wako ni nani na factory unlock ni tsh ngapi
 
Nipe namba yako tufanye biashara au unitumie pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…