Elya
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 296
- 176
Hyo huawei ulitakiwa ucheki power switchHabari nina nokia hapa 1248 maarufu kama obama haikubali kuwaka wakuu point on/off p- inasoma 577 na p+ inasoma 596 msaada kimawazo na nina huawei y330-u11 inawaka na kujizima yenyewe.