Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Habari nina nokia hapa 1248 maarufu kama obama haikubali kuwaka wakuu point on/off p- inasoma 577 na p+ inasoma 596 msaada kimawazo na nina huawei y330-u11 inawaka na kujizima yenyewe.
Hyo huawei ulitakiwa ucheki power switch
 
Jamani habari zenu, ivi tecno t349 kama mafundi mushajua ili tatizo la batani kutofanya kazi isipokua batani ya nyota na moja kujihold
 
Jamani habari zenu, ivi tecno t349 kama mafundi mushajua ili tatizo la batani kutofanya kazi isipokua batani ya nyota na moja kujihold
Ondoa systēm charge pia leta picha ya saketi kwa upande wa terminal chin nikuoneshe kitu
 
Nahitaji saketi za hizi simu
Lg G4
Grand prime plus
Galaxy note 1
Mwenye nayo mojawapo anicheck 0763976109,0658190978
 
Kuna simu ililowana maji. ..baada ya kukauka batan kadhaa hazifanyi kazi..nimejaribu kusagisha Na petrol lkn bado.
Nb Ni simu ndogo ya batan.....then sins kipimo chochote
 
anaejua sehemu nayoweza kupata touch screen ya HTC DESIRE 820 anijuze inbox.
 
Wakuu, natafuta motherboard complete ya samsung s5.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
 
Nina simu ya Galaxy Note 3 neo (SM-N750L) tatizo lake kubwa ni Weak Network.
Kuna kipindi inashika Network vizuri na kuna kipindi inakuwa haipo kabisa.
naomba ushauri wa kusolve tatizo hili
hazole1
 
ITEL S31.
nina itel s31 ni mpya mpya. nmetumia siku6 na ikasumbua nikapeleka kwa mafundi wawili wakaiongezea matatizo ikawa hata haiwaki.
na wakasema ni mashine imekufa.

kama kuna mwenye mashine au solution karibuni mafundi tusaidiane.

mimi niko DAR ES SALAAM .
kwahiyo nafka seem yeyote dar
 
Ulipeleka kwa mafundi wakuflash au wa hardware

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…