Wakuu habari zenu!Nina iPhone 5c inaonesha network searching muda wote.tatizo litakua nini
Hivi hakuna group la Whatap kwa kipengere hiki muhimu?
Naomba linkLipo.
Soon naleta link hapaNaomba link
UmeonaeehEbu leta link mzee maana kwa reply zinakua zinachelewa kuonekana fasta
Tunarisubiri ninja ..Lipo.
...Habari njema kwa mafundi wenzangu
Nawaletea unlocked firmware za HALOTEL zitakokuwezesha kutoa network lock kwenye simu husika na kutumia line ya mtandao wowte ule bila kuwa na line ya halotel katika slot 1.
1.HALOTEL H6301
2.HALOTEL H6302
3.HALOTEL H6307
4.HALOTEL H6308
5.HALOTEL H6309
6.HALOTEL H6402
7.HALOTEL H8505.
Gharama ya kila file ni tsh.5000 tu.kwa wanahitaji tuwasiliane kupitia 0766334991 call/text/whatsapp
Pia kwa wale pia wanahitaji exlusive files kutoka needrom zinapatikana,factory signed firmware za tecno,infinix na itel nazo zipo pia
Samsung s6
Display imekufa
IPO sokoni, Bei 60 elfu
Imetumika miezi miwili haina scratch yoyote zaid ya kioo..
Anayehitaji ani Pm.
Bado ipo!?
ipo Mzee.Bado ipo!?
Bado unayo jombaaSamsung s6
Display imekufa
IPO sokoni, Bei 60 elfu
Imetumika miezi miwili haina scratch yoyote zaid ya kioo..
Anayehitaji ani Pm.
Je naweza kupata Circuit na Display ya Huawei ( U8220 )hyo bei ni rahisi sana mzee. sisi tunazibadlisha kwa 50k