Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Wakuu naweza pata display ya Tecno phonepad 3 wapi na kwa kiasi gani?
 
Tecno ndogo ya batan iliingia maji....tatizo display hai display chochote tofaut Na Mwanga tuu.
Niguse wapi?
 
Nina TECNO W4 imekufa betri ambalo sio la kutoa.
Nahitaji fundi wa kutengeneza au kuuza kama skrepa.
Ukipenda njoo PM au nipe namba nitapiga simu.
 
Anaehitaji anipe bei yake nikiona inalipa namuuzia,nashindwa kupanga bei sababu haina betri.
Mimi yangu imekufa mashine yenyewe kabisa ila kioo na vingine vipo fresh, so naogopa kukutajia bei ukaona ni kama vile nakutusi.
 
Habari za majukumu mafundi,kuna tecno k9 hapa inatatzo la kioo kuonesha plain nimebadili vioo km 5 ila bado plain tu na tatzo limeanza baada ya simu kuwekwa kwenye chaji na kuja kuchomolewa ili itumiwe ikawa inaonesha plain.naombeni mwongozo
 
Msaada wakuu nisa simu yang tecno l9 tang idondoke imegoma kupandisha 3g na network inasumbua
 
Back
Top Bottom