Sasa mzee hapo kama vyote ni vya hiyo simu si bora tu ukaachana nayo na kununua ingineJe naweza kupata Circuit na Display ya Huawei ( U8220 )
Na gharama yake ni kiasi gani? View attachment 931002View attachment 931003
Yaani muhimu hapo nataka Circuit yake tu ndugu yanguSasa mzee hapo kama vyote ni vya hiyo simu si bora tu ukaachana nayo na kununua ingine
OkayYaani muhimu hapo nataka Circuit yake tu ndugu yangu
Unauza sh.ngapi?Nina TECNO W4 imekufa betri ambalo sio la kutoa.
Nahitaji fundi wa kutengeneza au kuuza kama skrepa.
Ukipenda njoo PM au nipe namba nitapiga simu.
Unauza sh.ngapi?
Mimi yangu imekufa mashine yenyewe kabisa ila kioo na vingine vipo fresh, so naogopa kukutajia bei ukaona ni kama vile nakutusi.Anaehitaji anipe bei yake nikiona inalipa namuuzia,nashindwa kupanga bei sababu haina betri.
Mimi yangu imekufa mashine yenyewe kabisa ila kioo na vingine vipo fresh, so naogopa kukutajia bei ukaona ni kama vile nakutusi.
Sasa Mkuu hiyo IMEI namba itakuaje?Tsh40,000 ila tambua betri ni yale yasiotoka(yangu tatizo betri tu)
Sasa Mkuu hiyo IMEI namba itakuaje?
Solution yake inakuajeHuwa zinaharibika baseband chip.