Mafundi simu wa upande wa hardware naomba tukutane hapa

Wakuu nina samsung S6 inafanya kazi vizuriii ila screen ake in clerk...nikitaka nibadilishee inabidii nifanyajeee naweza pata display ake
 
Wakuu nina samsung S6 inafanya kazi vizuriii ila screen ake in clerk...nikitaka nibadilishee inabidii nifanyajeee naweza pata display ake
Zipo sana tuu ila bei itakuwa imechangamka
 
Sawa sawa kwaio hapoo nitatakiwa nibadlishee nini maana touch inafanyaa kazii natakiwa nibaadilishe screen au?
Kama inafanya kazi ni bora ukaacha maana hivyo vinauzwa complete manake vmeungana na bei nahc ni zaidi ya 200000 kwa bongo
 
Wakuu natafuta touch ya Samsung j8 na betri
 
Sawa sawa kwaio hapoo nitatakiwa nibadlishee nini maana touch inafanyaa kazii natakiwa nibaadilishe screen au?
Km imepasuka na inatouch vizuri,huwa tunabadili hyo glass iliyopasuka tu.Huna haja ya kununua display complete,kwa maelezo zaidi tuwasiliane 0766334991
 
Nahitaji kioo cha NOTE 3 mwenye nacho inbox au nipe bei ya kuuza
 
KIOO CHA TECNO DP8D KINAHITAJIKA KWA MWENYE NACHO AU MWENYE USHAURI YA JINSI YA KUKIPATA TAFADHALI NAOMBA MSAADA BIASHARA IFANYIKE
 
KIOO CHA TECNO DP8D KINAHITAJIKA KWA MWENYE NACHO AU MWENYE USHAURI YA JINSI YA KUKIPATA TAFADHALI NAOMBA MSAADA BIASHARA IFANYIKE
Display wanauza 60-70k na touch ni 10k,location kariakoo.
 
Display wanauza 60-70k na touch ni 10k,location kariakoo.
Nashukuru kwa maelezo ila tu labda nilisahau kuelezea vizuri kuwa nimejaribu kwa kariakoo kila niingiapo naambiwa tu touch ndio ipo. Sijui labda specific ni duka lipi huenda nikaipata
 
Majuzi nimetafuta kioo cha tecno phonepad 3 nikakosa, mwenye nacho tuwasiliane.
 
Majuzi nimetafuta kioo cha tecno phonepad 3 nikakosa, mwenye nacho tuwasiliane.
Ndio chakushangaza maana ckutegemea kuwa ha tecno spea zake zaweza kuwa adimu kiasi hiki
 
Jamani nna engine ya tecno j8 nnauza 30k ....ngoja nalepa picha hapa soon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…