Abdul Ghafur
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 610
- 749
Fundi umeme kwa sasa hahitajiki, lakini, ikiwa una uwezo wa kufundisha masomo ya awali ya umeme ambayo yanakubalika na VETA basi unaweza kuja tuongee kufungua darasa la ufundi umeme.Vipi mafundi umeme hawaitajiki
Karibu sana uje kujionea na tuongee tunavyofanya shughuli zetu.Nipo tayari kwa upende wa plumber
Kujifunza masomo kwenye sekta ya ujenzi ni bure hulipii kitu, masomo mengine kama Computer course, English course na Arabic course unalipia ada ya Shillingi 1,000 kwa siku.Kuja kujifunza ni kiasi gani?
Tutafsirie. Lugha hiyo nahisi wengi hatujaifahamu.Mmmmmmhmn
Kama upo tayari kuja kufanyia kazi zako hapa Abraar Education Centre, Misugusugu, Kibaha tuwasiliane kwa whatsapp 0625249605.Jamani Mimi nifundi wa kutengeneza madirisha ya aluminum milango kabati na shelfu kwa yeyote mwenye kazi tujulishane tushilikiane kwa Bei lahisi