DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Iko Ivo...Hapa nitaongea kwa ufupi sana na hii mada inawahusu mafundi wa aina zote hasa wale wanaokuja majumbani au maofisini kufanya matengenezo fulani.
Mafundi vinyozi hamna baya ila nna uhakika na nyie mngekuwa mnakuja kutunyolea majumbani mngekuwa mnaondoka na nywele zetuHii mafundi vinyozi haituhusu hii.
Omba kwanza, usibebe kama chakoSasa mkuu kitu uliona hakifai/kibovu unataka ubaki nacho ili iweje??
hili swala linakera kweliPili, ni suala la kuondoka na vifaa vya mteja. Anaweza kuja kubadili au kufix kitu fulani, akimaliza kazi wengi wana tabia ya kuchukua kifaa alichobadilisha. Usipokuwa makini, kama siyo kifaa chote basi kuna kitu alichobadili atabeba bila kuomba au kutoa taarifa.
Kanuni ni ileile kila mtu anakula kwa urefu wa kamba yake..Hapa nitaongea kwa ufupi sana na hii mada inawahusu mafundi wa aina zote hasa wale wanaokuja majumbani au maofisini kufanya matengenezo fulani kuanzia mafundi ujenzi, wapakaji rangi, fundi umeme hadi fundi wa maji.
Kuna mambo mawili ambayo yanakera sana ambayo wanafanya mafundi wa Kitanzania.
Kwanza, ni ishu ya kutofanya usafi baada ya kumaliza kazi. Mafundi wetu hawa hawadhani kuwa ni wajibu wao kuacha pasafi mazingira waliyofanyia kazi. Hili nimeliona hata kwa wale ninaodhani watakuwa wamepitia mafunzo. Nashauri vyuo vya ufundi vifundishe na kusisitiza utaratibu sahihi wa fundi kufanya kazi iliwemo kuacha mazingira safi baada ya kazi.
Pili, ni suala la kuondoka na vifaa vya mteja. Anaweza kuja kubadili au kufix kitu fulani, akimaliza kazi wengi wana tabia ya kuchukua kifaa alichobadilisha. Usipokuwa makini, kama siyo kifaa chote basi kuna kitu alichobadili atabeba bila kuomba au kutoa taarifa.
Kwa leo nitagusia hayo tu.
Nywele tunaenda kuuza wapi?.Mafundi vinyozi hamna baya ila nna uhakika na nyie mngekuwa mnakuja kutunyolea majumbani mngekuwa mnaondoka na nywele zetu
Umetumia lugha stahiki bila kupepesa maçho...hili swala linakera kweli
mafundi ni wezi
Vyuo vyote vya ufundi somo la kwanza kabisa ni usalama sehemu ya kazi, usalama wako wewe fundi usalama wa vifaa vyako na usalama wa kazi unayo fanya.Hapa nitaongea kwa ufupi sana na hii mada inawahusu mafundi wa aina zote hasa wale wanaokuja majumbani au maofisini kufanya matengenezo fulani kuanzia mafundi ujenzi, wapakaji rangi, fundi umeme hadi fundi wa maji.
Kuna mambo mawili ambayo yanakera sana ambayo wanafanya mafundi wa Kitanzania.
Kwanza, ni ishu ya kutofanya usafi baada ya kumaliza kazi. Mafundi wetu hawa hawadhani kuwa ni wajibu wao kuacha pasafi mazingira waliyofanyia kazi. Hili nimeliona hata kwa wale ninaodhani watakuwa wamepitia mafunzo. Nashauri vyuo vya ufundi vifundishe na kusisitiza utaratibu sahihi wa fundi kufanya kazi iliwemo kuacha mazingira safi baada ya kazi.
Pili, ni suala la kuondoka na vifaa vya mteja. Anaweza kuja kubadili au kufix kitu fulani, akimaliza kazi wengi wana tabia ya kuchukua kifaa alichobadilisha. Usipokuwa makini, kama siyo kifaa chote basi kuna kitu alichobadili atabeba bila kuomba au kutoa taarifa.
Kwa leo nitagusia hayo tu.
Juzi hapa wamenipiga kokoto kile Kiloli kidogo kokoto nyeusi, jamaa wamekuja wakamwaga chap, bila kunipa nafasi kukagua!, kikijaa inakuwa laki 2, lakini mafundi wezi wanawaambia niwekee za laki na sabini, wanalamba 30, na wakifika site wanamwaga haraka ili usistuke.Umetumia lugha stahiki bila kupepesa maçho...
Ni wezi full stop...
MnatuoneaUmetumia lugha stahiki bila kupepesa maçho...
Ni wezi full stop...