Mafundi wa nyumba tafadhali mjitokeze

colin_morgan

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
2,443
Reaction score
2,912
Habar wakuu.....
Ninaomba ndugu zangu mafundi wa ujenzi wa nyumba muniseidie tathmini kidogo ya vitu ili niweze kujenga msingi wa nyumba yangu

Targets ni vyumba 3 kimoja masters , viwili kawaida

Sebule, jiko , ki dinning , na choo cha jumuiya

Naomba kujuzwa kwa targets hizo nahitajika kua na nondo kama ngapi
Saruji mifuko mingap
Mchanga
Na kokoto....

Mnakaribishwa wakuu.....nitashukuru sna
 
Ukionesha ramani bila shaka watakupa muongozo mkuu.

Hongera sana kwa hatua hiyo
 
Yaani hujaanza hata msingi tayari unauliza estimate ya material? kama upo serious na ujenzi hivyo vyote utaambiwa na fundi wako....
 
Yaani hujaanza hata msingi tayari unauliza estimate ya material? kama upo serious na ujenzi hivyo vyote utaambiwa na fundi wako....
Kashaniambia....nataka nifanye.....ulinganisho mkuu si unajua ..kwa ajil ya cost management
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…