MAFUNDI WAONGO????

MAFUNDI WAONGO????

Eng Mose

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2017
Posts
242
Reaction score
322
Kuna sehemu leo hii nimepita nikasikia watu wanajadili kuwa eti mafundi ni waongo sana, tena ndio wanaongoza kwa uongo kwenye mahusiano, kazi na mengine, tena wakahusisha sana mafundi umeme+tanesco na mafundi wa furniture je ni kweli au wanasingiziwa tu.......
 
Hata mie fundi

ila sidanganyi!

so mafundi sio waongo

japo wengine FAKE!
 
Back
Top Bottom