Mafundi wazuri wa Nissan Duals

Asante mkuu ngoja niwachek hawa Mr Ist
 
mr. IST wako vizuri wao wanadili na Dualis na Xtrail tuu kila kitu wanacho...diagnosis ni bure
 
Habari ndugu wana jamii forum,

Nimejikongoja kidogo nimenunua Nissan Duals naombeni ushauri kuhusu mafundi wazuri maana hii gari naipenda sana japo watu wanadai ina changamoto nyingi ila kwa upande wangu naikubali sana hii gari
Hongera sana sana. Ni gari nzuri mno, kimuonekano na ina starehe ya hali ya juu. Dualis inaitwa Tanzanian Sweetheart

Ushauri. Pamoja na uzuri wake, ni gari inayohitaji umakini sana. Ni nyepesi sana kushika moto/kuwaka/kuripuka hasa ukiongeza vitu vinavuotumia umeme kama video, muziki mkubwa na pia kama utapeleka Kwa mafundi vishoka.

Tafuta fundi mtaalamu hasa wa magari hayo. Sio kila fundi umpe gari lako.
 
Usibadili wire kwa fundi asieijua Dualis kama vile kuweka redio/amplify, taa za busta nk...utaichoma. Huko Japan mpaka wanasitisha uzalishaji hazina case ya kuwaka moto....Zikitua bongo land....kila mtu ni mtaalam
 
Ni leather bro. Hebu edit basi tuepukane na aibu ndogo ndogo.
 
Asante mkuu ila kwa hapa dar es salaam nazipata wap maana uchakachuaj umekuwa kila sehem now days
Mastercard Tanzania Limited Msimbazi st
Pia kuna Ayubu spare parts Ilala
Spare OG hata cover lake unalijua tu

Bei imesimama SANA
 
Vp kihusu engene oil na gearbox oil ?
 
Habari ndugu wana jamii forum,

Nimejikongoja kidogo nimenunua Nissan Duals naombeni ushauri kuhusu mafundi wazuri maana hii gari naipenda sana japo watu wanadai ina changamoto nyingi ila kwa upande wangu naikubali sana hii gari
Tule mrejesho mkuu
 
Vp kihusu engene oil na gearbox oil ?
Engine oil na hydraulic kama utapata za Nissan original itakuwa bora sana. Kama huna uhakika na Nissan original. Tumia hata ATRANTIC wako poa. Oil iwe 5W30.
 
Tule mrejesho mkuu
Mrejesho mkuu ni kwamba gari iko poa tu, tangu nmenunua sijawahi kugusa kwenye engine zaidi ya kubadilisha engine oil, shock up pia zilizingua nikabadilisha japo nlienda kwa mafundi nnaowaamini maana nlikuwa nackia sauti inagonga kwa mbalii sasa nikapeleka garage moja hapo sinza wakaangalia wakasema ni tairod end nikabadilisha tatzo likaendelea nikarud tena wakasema inabidi kushusha kifua nikashusha lakn tatzo likaendelea, ilibid niwamind sana maana nikama hawana uhakika na tatzo sasa wanakufanya unaingia gharama kwa vtu ambavyo havikuwa na ulazima, na wakishafungua kitu hata kama hakijaharibika wanalazimisha tu kuwa ni kibovu tubadilishe sasa baadaye fundi yule yule aliyesema ni kifua akasema tena itakuwa shock up daah nlichoka ila mwisho wa siku nliweka shock up mpya tatizo likaisha, ila kiu ukweli hawa mafundi wetu wanabuni matatzo hawana uelewa mzuri, so tatzo kubwa ni hilo gari haijawahi kuwa na shida nyingne
 
Eti Wapunguze mapamba!

Hakina Fundi Maiko wanataka kuharibu gali.
 
Maura Auto Garage 0754 284864 utakuja nishukuru
 
Habari ndugu wana jamii forum,

Nimejikongoja kidogo nimenunua Nissan Duals naombeni ushauri kuhusu mafundi wazuri maana hii gari naipenda sana japo watu wanadai ina changamoto nyingi ila kwa upande wangu naikubali sana hii gari
Maura Auto Garage ipo tabata 0754 284864 hutajuta maana Nissan aina zote ni nyumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…