Nadhani huwa anaona maghorofa ambayo nguzo zake huwa zinafichwa vizuri kwa matofari.Basi,yeye hudhani hakuna nguzo.Ghorofa bila nguzo lafaa nini basi kama si ghorofa lililojengwa hewani?Aisee...Fundi Maiko acha kabisa...
Nenda kasome Beams and Deflections...(Structural Mechanics)
Hakuna ghorofa inayojengwa bila kuwa na beams( nguzo)..1
Acha uongo,Aisee...Fundi Maiko acha kabisa...
Nenda kasome Beams and Deflections...(Structural Mechanics)
Hakuna ghorofa inayojengwa bila kuwa na beams( nguzo)..1
Hivi ni vile vitofali vya urembo, angalia vizuri utaona kwenye nguzo vimebandikwa tu.... weka picha ya jengo likiwa hatua za mwanzo kama unazo
Utakuta hela ya Banda la njiwa Hana tunasumbuana tuPicha zinadanganya sana...fuata ushauri wa fundi
Ujenzi sio kama unaagiza gari, mambo mengi ya kuzingatia....kuna ardhi nyingine zinasumbuaUtakuta hela ya Banda la njiwa Hana tunasumbuana tu
Gharama kubwa hailetwi na nguzo.Mimi ni kati ya watu wenye ndoto za kujenga ghorofa, lakini mada nyingi zimekuwa zinaibuka humu kwamba gharama ya ghorofa ni kubwa sana hasa gharama kubwa inakuwa ni msingi na nguzo zile zinazosimamisha ghorofa!
Lakini nimejatibu kufanya utafiti mbali mbali wenzetu wanajenga vipi huko kwenye mabara mengine!
Nilichogundua wenzetu kuna ghorofa zinajengwa bila zile nguzo kabisa yaani ghorofa inasimama na kuta tu pekee, na inakuwa imara kabisa!
Je, wafundi wetu wanakwama wapi? ama ndio wamekariri kuwa bila nguzo huwezi kujenga ghorofa?
Gharama kubwa hailetwi na nguzo.
1. Msingi lazima uwe imara, hii nikwasababu utabeba mzigo mkubwa.
Beam na slab pia hula mpunga wa maana haswa. Kwahiyo nguzo umezionea tu
Tofari azijalazwa[emoji15]View attachment 2410039
Endeleeni kubisha
Hizo Kuta za vyumba vya ndani ndo zimetumika kama nguzoView attachment 2410039
Endeleeni kubisha
Kazi kuu ya column ni kubeba mzigo (loads) wa slab, column iliyopo juu yake (kwa jengo la ghrofa zaidi ya moja) na truss then kusafirisha kwenda kwenye msingi!
Nimejitahidi kuhighlight kidgo juu juu naamini mtapata cha kujifunza!