Mafundisho ya Mohammad yanayokinzana na Yesu kristo

Mafundisho ya Mohammad yanayokinzana na Yesu kristo

Mafundisho ya Nabii Muhammad yana tofauti kubwa na yale ya Yesu Kristo katika maeneo mbalimbali, hasa kuhusu tabia ya Mungu, mahusiano ya binadamu, na njia ya wokovu. Hapa kuna baadhi ya tofauti kuu:

Upendo kwa adui
Yesu Kristo
alifundisha msamaha na upendo kwa maadui kama msingi wa maisha ya Kikristo.

Biblia:
“Lakini mimi nawaambia, wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi.” (Mathayo 5:44)

“Usishindwe na uovu, bali uushinde uovu kwa wema.” (Warumi 12:21)

Nabii Muhammad alifundisha kulipiza kisasi katika baadhi ya hali, hasa kwa wale waliokuwa wakipinga Uislamu.

Quran:
• “Na piganeni nao mpaka kusiwepo fitna, na dini iwe kwa ajili ya Mwenyezi Mungu.” (Sura Al-Baqarah 2:193)

• Katika Hadith: Muhammad aliidhinisha vita dhidi ya wale waliomkataa kama mtume au walipinga Uislamu. (Sahih Bukhari 4:52:196)

2. Njia ya Wokovu
Yesu Kristo
alifundisha kuwa wokovu ni kwa neema kupitia imani, si kwa matendo pekee.
Biblia:
•“Kwa maana mmeokolewa kwa neema, kwa njia ya imani – ambayo si kutoka kwenu wenyewe, bali ni kipawa cha Mungu.” (Waefeso 2:8-9)

Nabii Muhammad alifundisha kuwa wokovu unategemea mizani ya matendo mema dhidi ya mabaya, pamoja na rehema ya Mungu.
Kurani:
• “Basi atakayefanya wema wenye uzito wa chembe, atauona. Na atakayefanya uovu wenye uzito wa chembe, atauona.” (Sura Az-Zalzalah 99:7-8)

• Hadith inasema hata Nabii Muhammad hakuwa na uhakika wa wokovu wake bila rehema ya Mungu. (Sahih Bukhari 8:76:470)

3. Maadili ya Ndoa na Familia
Yesu Kristo
alifundisha upendo wa mke mmoja na kutilia mkazo uaminifu katika ndoa.
Biblia:
• “Kwa sababu hiyo mtu atamwacha baba yake na mama yake, ataambatana na mkewe, na hao wawili watakuwa mwili mmoja.” (Mathayo 19:5-6)

Nabii Muhammad aliruhusu ndoa za wake wengi (hadi wanne) kwa wanaume, mradi waweze kuwatendea haki. Muhammad mwenyewe alioa wake wengi zaidi ya wanne, jambo lililokuwa maalum kwake pekee.
Quran:
• “Mwaweza kuoa wake wawili, watatu, au wanne; lakini mkihofia kuwa hamwezi kufanya uadilifu, basi mmoja tu…” (Sura An-Nisa 4:3)

4. Tabia ya Mungu
Yesu Kristo alifundisha kuwa Mungu ni Baba mwenye upendo na anatamani uhusiano wa karibu na binafsi na kila mtu.
Biblia:
• “Mnaposali semeni, Baba yetu uliye mbinguni…” (Mathayo 6:9)

• “Bwana ni mwenye huruma na neema, si mwepesi wa hasira…” (Zaburi 103:8)

Nabii Muhammad alifundisha kuwa Mungu (Allah) ni wa kutukuzwa zaidi ya binadamu, lakini haonyeshi tabia ya kuwa Baba wa mtu binafsi.
Quran
• “Hapana yeyote aliye kama Yeye, na Yeye ndiye Mwenye kusikia na kuona.” (Sura Ash-Shura 42:11)

• “Na hawatamjua Mwenyezi Mungu kwa kadiri ipasavyo…” (Sura Az-Zumar 39:67)

5. Matumizi ya Nguvu
Yesu Kristo
alihimiza kujiepusha na matumizi ya nguvu, hata wakati wa mateso. Aliwakataza wanafunzi wake kutumia silaha kumtetea.
Biblia:
• “Rudisha upanga wako mahali pake, kwa maana wote waushikao upanga, wataangamia kwa upanga.” (Mathayo 26:52)

Nabii Muhammad alihimiza matumizi ya nguvu wakati wa vita vya kijihadi au kulinda dini.
Quran:
•“Mmepewa ruhusa ya kupigana kwa sababu mmedhulumiwa.” (Sura Al-Hajj 22:39)

• “Na mpigane nao mpaka kusiwepo tena fitna…” (Sura Al-Baqarah 2:193)
Ndio ujue tofauti ya giza na Nuru. Shetani hajawahi kuacha kutaka kuchakachua kile cha Mungu. Ila ameshindwa vibaya mno!
 
IPO HIVI

JINA LA MTUME

KITABU ALICHOPEWA

WAYAHUDI

WAKRISTO

WAISLAMU

IBRAHIMU(AS)

SUHUF (kurasa chache sio kitabu)

Wanamuamini

Wanamuamini

Wanamuamini

MUSA (AS)

TAURATI

Wanamuamini

Wanamuamini

Wanamuamini

DAUDI (AS)

ZABURI

Wanamuamini

Wanamuamini

Wanamuamini

YESU/ISA
( AS)

INJILI

HAWAMUAMINI

Wanamuamini

Wanamuamini

MUHAMMAD (SAW)

QURAN

HAWAMUAMINI

HAWAMUAMINI

Wanamuamini

QURAN 3: 84-85
84. "Sema: Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na tuliyo teremshiwa sisi, na aliyo teremshiwa Ibrahim, na Ismail, na Is-haka na Yakubu na wajukuu zao, na aliyo pewa Musa na Isa na Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi. Hatubagui baina yao hata mmoja, na sisi ni wenye kusilimu kwake.
85. Na anayefuata dini isiyo kuwa ya Uislamu haitakubaliwa kwake. Na yeye katika akhera atakuwa ni mwenye kupata hasara.."

SUMMARY
Kwa kifupi pepo ikiwa ni ya Waislamu basi wakristo na wayahudi hawataingia kwani hawajamuamini Mtume Muhammad SAW. ILA pepo ikiwa ni ya wakristo au ni ya wayahudi basi waislamu wamo kwani waislamu wamewaamini Mitume wote waliokuja kabla ya Muhammad SAW
 
Yesu anarudi kuhukumu watu wote so be ready
 
Attachments

  • IMG_9708.jpeg
    IMG_9708.jpeg
    77.7 KB · Views: 8
IPO HIVI

JINA LA MTUME

KITABU ALICHOPEWA

WAYAHUDI

WAKRISTO

WAISLAMU

IBRAHIMU

SUHUF (kurasa chache sio kitabu)

Wanamuamini

Wanamuamini

Wanamuamini

MUSA (AS)

TAURATI

Wanamuamini

Wanamuamini

Wanamuamini

DAUDI (AS)

ZABURI

Wanamuamini

Wanamuamini

Wanamuamini

YESU/ISA
( AS)

INJILI

HAWAMUAMINI

Wanamuamini

Wanamuamini

MUHAMMAD (SAW)

QURAN

HAWAMUAMINI

HAWAMUAMINI

Wanamuamini

QURAN 3: 84-85
84. "Sema: Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na tuliyo teremshiwa sisi, na aliyo teremshiwa Ibrahim, na Ismail, na Is-haka na Yakubu na wajukuu zao, na aliyo pewa Musa na Isa na Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi. Hatubagui baina yao hata mmoja, na sisi ni wenye kusilimu kwake.
85. Na anayefuata dini isiyo kuwa ya Uislamu haitakubaliwa kwake. Na yeye katika akhera atakuwa ni mwenye kupata hasara.."

SUMMARY
Kwa kifupi pepo ikiwa ni ya Waislamu basi wakristo na wayahudi hawataingia kwani hawajamuamini Mtume Muhammad SAW. ILA pepo ikiwa ni ya wakristo au ni ya wayahudi basi waislamu wamo kwani waislamu wamewaamini Mitume wote waliokuja kabla ya Muhammad SAW
Pepo zipo 2 ya Wakristo na ya Waislam: Pepo ya Wakristo aina Mabikra 72 . Luka 20:32-35
32Mwishowe akafa pia yule mwanamke.33Je, siku wafu watakapofufuliwa, mwanamke huyo atakuwa mke wa nani? Alikuwa ameolewa na wote saba."

34Yesu akawaambia, "Watu wa nyakati hizi huoa na kuolewa; 35lakini wale ambao Mungu atawawezesha kushiriki ule wakati wa ufufuo, hawataoa wala kuolewa.
 
Yesu Kristo ni mpango Mungu wa wokovu kwa wanadamu Mudy ni mpango wa upotovu(Shetani) kwa wanadamu.

Mwenye akili hung'amua ila mpumbafu hushupaza shingo na kuangamia milele.
Kwamba..
 
Attachments

  • FB_IMG_1733849512712.jpg
    FB_IMG_1733849512712.jpg
    46.2 KB · Views: 8
Jana nimeona hii sehemu, mleta mada hebu icheki labda inaweza kuongeza kitu kwenye andiko lako
 
Attachments

  • IMG_4775.png
    IMG_4775.png
    504.5 KB · Views: 9
Acha kumlinganisha YESU na vitu vidogo mleta mada.

YESU ni mwanzo na mwisho. Siku ya kiama atakuja kuhukumu ulimwengu na kufufua wafu ikiwa ni pamoja na Mtume Mohamed (SAW).
Lazima kila mtu atatoa hesabu za dhambi zake mbele zake
 
IPO HIVI

JINA LA MTUME

KITABU ALICHOPEWA

WAYAHUDI

WAKRISTO

WAISLAMU

IBRAHIMU(AS)

SUHUF (kurasa chache sio kitabu)

Wanamuamini

Wanamuamini

Wanamuamini

MUSA (AS)

TAURATI

Wanamuamini

Wanamuamini

Wanamuamini

DAUDI (AS)

ZABURI

Wanamuamini

Wanamuamini

Wanamuamini

YESU/ISA
( AS)

INJILI

HAWAMUAMINI

Wanamuamini

Wanamuamini

MUHAMMAD (SAW)

QURAN

HAWAMUAMINI

HAWAMUAMINI

Wanamuamini

QURAN 3: 84-85
84. "Sema: Tumemuamini Mwenyezi Mungu, na tuliyo teremshiwa sisi, na aliyo teremshiwa Ibrahim, na Ismail, na Is-haka na Yakubu na wajukuu zao, na aliyo pewa Musa na Isa na Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi. Hatubagui baina yao hata mmoja, na sisi ni wenye kusilimu kwake.
85. Na anayefuata dini isiyo kuwa ya Uislamu haitakubaliwa kwake. Na yeye katika akhera atakuwa ni mwenye kupata hasara.."

SUMMARY
Kwa kifupi pepo ikiwa ni ya Waislamu basi wakristo na wayahudi hawataingia kwani hawajamuamini Mtume Muhammad SAW. ILA pepo ikiwa ni ya wakristo au ni ya wayahudi basi waislamu wamo kwani waislamu wamewaamini Mitume wote waliokuja kabla ya Muhammad SAW
YESU sio mtume PUMBAVU MKUBWA WW
 
Back
Top Bottom