Mafunguo lundo

Mafunguo lundo

Atakuwa Mshkaji mmoja jina lake ni Ndege msese.
 
Hakika tutashuhudia mengi katka awamu hii ya tano ya mtukufu jiwe..watu inabidi wajifariji kwa kutembea na mifunguo utafikir walinzi wa wodi za vichaa
 
Wengine wanaona ufahari kutembea na ID Shingoni.
 
Daaah hiyo fashion ya kunin'giniza funguo kiunoni hata zikiwa mbili mimi imenipitia pembeni.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]utafikiri anafanya kazi gesti bubu
Mtu amepiga zake suti safi ametokelezea ila alichokosea ile kutembea na maufunguo kiunoni.
Basi yanavyopiga kelele nikajua kuna ng'ombe wameingia mjini.
 
Back
Top Bottom