Upendo kitundu
Member
- Dec 17, 2022
- 73
- 46
Hi,leo tutajifunza kuhusiana kitabu cha RICH DAD, POOR DAD.
1. Wote tunahitaji elimu ya fedha.
Mwandishi anasema kuwa wanafunzi wengi wanamaliza shule bila ya ujuzi wa fedha. Wanajifunza kutengeneza fedha lakini hawana mawazo juu ya namna ya kutengeneza fedha kutoka katika fedha walizonazo.
2. Unahitaji kubadilika mwenyewe.
Mwandishi anatueleza kuwa tukubali kuwa sisi, ndo tatizo badala ya kulalamika au kuzilaumu familia zetu kwa kutokuwa matajiri.
3.Tumia akili au ujuzi wako kukuingizia kipato. Mwandishi anatueleza kuwa tunapaswa kujifunza,namna ya kutafuta fursa,kujichanganya na watu wenye akili.