Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 582
Jamani hizi taaluma za sheria yaani law ,engineering,medicine,accounting&finance ni ngumu kuliko nyingine mfano ni kwamba unapomaliza shahada ya kwanza ya sheria yaani llb unatakiwa uende tena kwenye school of law ili kuwa imara zaidi na kuwa wakili ,hivyo hivyo kwa wahasibu ukishamaliza shahad ya kwanza ya uhasibu unatakiwa kufanya mitihani inayotolewa na bodi ya wakaguzi na wahasibu ya taifa yaani nbaa ambapo mhitimu aliyefaulu hupewa cpa yaani certified public accountant ,tuje kwa mainjia wao baada ya kumaliza shahada ya kwanza wanatakiwa kufanya research ambazo hupelekea kupewa cheti cha ithibati kutoka e.r.b yaani engineers registration board ,hali kadhalika kwa medical doctors baada ya kumaliza shahada yao ya kwanza hufanya kazi chini ya daktari bingwa wanaita inten sasa basi taaluma yoyote ambayo haina mafuzo baada ya kumaliza shahada ya kwanza ni rahisi na sio nyeti ndiyo maana haina haja ya kuwa approved kupitia mitihani na mafunzo mbalimbali yanayotolewa na bodi na vyama husika mfano school of law kwa lawyers ,cpa kwa wahasibu na erb kwa engibeers