wanawake live
Member
- Apr 18, 2013
- 10
- 26
wanawakelivetz
#WADADACENTER
.
2019 Tunatarajia kuboresha program hii ya wafanyakazi wa Nyumbani kuwapa Mafunzo ya Mwezi angau mmoja... Kwa sasa wanapata Mafunzo kwa wiki moja tuu kwa Sababu ya kushindwa kuwaweka kwa muda mrefu kutokana na garama za uendeshaji... .
.
Tunajitahidi sana kuwapa huduma ya Wadada wa kazi za nyumbani, wachapa kazi wanaojitambua baada ya kupata Mafunzo...
.
.
Kama huna kazi hii ni #Fursa Nzuri sana ya kuanzia maisha kwa wewe ambae huna mtaji wala kazi wala biashara... Utafikia hapa kituoni kwetu na kukaa kwa muda wa wiki moja, huduma ya Chakula na malazi ni juu Yetu hulipii chochote...
.
.
Lakini pia tunapata maombi Mengi ya Wadada wanaotaka kazi za kwenda na Kurudi, kutokana na majukumu walio nayo ya Watoto na Ndoa wanashindwa kwenda kufanya kazi hizi za ndani.. Tumeanza kutoa Mafunzo ya kutoa huduma za maduka, supermarket, bar, grosari, Mgahawa, n.k
.
.
Kwa Maelezo zaidi 0783137777