fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,071
Kumekuwa na wimbi la watu kuteswa na kuumizwa, harufu inakwenda mbali sana ambako palipaswa yatoke maneno matakatifu iwe ni kwa muumini au aiyemuumini.
Inagusa eti Usalama, Je ni kweli mtu anaweza kumaliza masomo yake akaaga kwa baba na mama yake kuwa anaenda kusomea kutesa na kuua watu ili mradi tu akiambiwa afanye hivyo na watu ambao anawaheshimu sana??? Je hii ni fani kama uhandisi, IT, Habari, Unesi etc???
Hivi kweli una akili timamu, unakubali kuua mtu kisa tu kasema au ana taarifa ambazo ni za kweli na vile zitamgharimu cheo au fedha unakubali ukamtese au kumuua, au kumtoa macho??? kweli wewe ni binadamu??? binadamu wote ni sawa, wengine sio kama ni binadamu kabisa, ulituimia akili sana kupata na kufaulu hiyo fani??? yaani kwenu uliaga na unawatumia fedha kama mchango wako ukiwa umewaambia kazi unayofanya???? yaani babu yako anakwambia mjukuu wangu jitahidi ufanyakazi yako vizuri??? hivi hii ni kazi halali kwa mjibu wa sheria zetu???
Naomba nisaidiwe hili likoje??? mtu anasomea kudhuru watu wengine???