Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes kutengeneza bunduki au bomu sio sawa na kutesa, ng'oa kucha, meno, etc, kuua raia kwa mateso makali, bunduki na bomu yanatumika wakati wa kulinda mipaka, kupiga majambazi sio hata kwa vibaka wadogo hawa, so you see the tofauti?
Kwan Jambazi sio Mtu?
Intelijensia ni neno la kizungu, wenzetu wanamaanisha hivyo, mtu mwenye akili, mtu wa interijensia ulaya ni lazima uwe na kipaji maalumu, hapa kwetu ni tofauti, sijui vigezo wanavyotumia kwa sasa, wakati wa mwalimu alichukua wanafunzi wanaofanya vyema na kuwapeleka tabora school, toka hapo jeshini, anabaki na vijana wachapakazi
muulize mwigulu nchemba alisomea china
Naskia Malecturer huko ni Ramadhani Ighondu, Advocate Nyombi na Afande Pasua...