Hivi jaman kuna mwenye tetes kuhusu field za ualimu kwa maana naona Hali ni mbaya kwa vyuo vya ualimu vya serikali mpaka sasa wanachuo wa hv vyuo hawajui wataenda lini BTP na ukichukulia vyuo vya binafsi washasepa.
TP hivyol kudhirisha serikali haina pesa kwa hyo ndugu wanachuo endeleen na maandaliz ya paper tu nyie mwaka huu btp yenu haipo