Mafunzo kwa vitendo vyuo vya ualimu vya serikali yataanza lini ?

Joined
Jan 15, 2015
Posts
67
Reaction score
8
Hivi jaman kuna mwenye tetes kuhusu field za ualimu kwa maana naona Hali ni mbaya kwa vyuo vya ualimu vya serikali mpaka sasa wanachuo wa hv vyuo hawajui wataenda lini BTP na ukichukulia vyuo vya binafsi washasepa.

TP hivyol kudhirisha serikali haina pesa kwa hyo ndugu wanachuo endeleen na maandaliz ya paper tu nyie mwaka huu btp yenu haipo
 
mi naenda fanya btp kwenye chuo kimoja wapo kuanzia week ijayo sasa wamesem watakuwepo cjui hyo field wataenda lini
 
jiandae na mtihani field ya nini hujiamini we mwalimu bhana
 
walimu bwana dah!njaa njaa tupu yan hayafikiriagi nje ya box hv wewe 4500 itakupeleka wapi njaa zitawaua
 
Back
Top Bottom