Mafunzo kwenye maisha: Kupata ni majaliwa haimaanishi wewe ni bora kuliko mwingine

MUNGU HANA UBAGUZI HATA VILEMA HUJUA JINSI ANAVYO WALIWAZA NA KUWAPA RIZIKI ZAO,,

HATA VILEMA WAKIWAONA WAGONJWA WALIO MAHUTUTI HOSPITALINI CHAKULA KINAPITISHWA KWA MIRIJA NAO WANASEMA BORA NA SISI

NDIO MAANA KUNA VILEMA WANAKULA VIZURI KULIKO HATA WENYE MIGUU NA VIUNGO VYOTE.

MAANA KUNA MWINGINE ANA VIUNGO VYOTE ILA MAISHA YAKE NI HERI NA YA VILEMA.

NDIO MAANA WEWE MZIMA PIA KUNA WAGONJWA,,

WAGONJWA WANAPONA WALIO KUWA WAZIMA WANAUGUA HIVYO TU HAKUNA CHA UPENDELEO

VILEMA WANAISHI WAZIMA NA WENYE MALI WANAKUFA

DUNIANI HUMU NI MSALA NIISHIE HAPA TU [emoji20]
Jidanganye
 
Maisha ni kama kutafuta switch kwenye chumba kilicho gizani ukizipata Tu unapata mwanga...!!!
Wengine huzaliwa tu na kuwashiwa switch bila hata kutafuta,
wengine huzaliwa switch ipo jirani na mikono yao, wengine mpaka wa struggle, na wengine mpaka wanakufa unakuta hawajafanikiwa kupata switch.
Lwasu likes your comment!!!
 
And that's how it is nimekubariana na wewe kwa asilimia nyingi km zote,

Wengine inafikia hatua wanafichiwa mpaka hio switch (hii ni kinyume na wale wanaopewa na kuwashiwa tu switch pale wanapozaliwa)

Maana switch inakua imeshikwa na watu wengine ili wamuwashie huyo mtu Ila wao kwa kua wana kaa uzibe wanagoma kumuwashia switch kwa hio wanamfichia ili hata asipate kuiona mpaka anaingizwa kaburini kumbe kuna mshenzi mmoja ametulia tu ameficha switch ya mtu mpaka mtu anakata pumzi switch yake hajawahi kuiwasha wala kuwashiwa

Kaa uzibe sio watu wazuri
 
Amini mkuu huku ukipambana nakuhakikishia utashinda.
Give Up
 
And that's how it is nimekubariana na wewe kwa asilimia nyingi km zote,

Wengine inafikia hatua wanafichiwa mpaka hio switch (hii ni kinyume na wale wanaopewa na kuwashiwa tu switch pale wanapozaliwa)

Maana switch inakua imeshikwa na watu wengine ili wamuwashie huyo mtu Ila wao kwa kua wana kaa uzibe wanagoma kumuwashia switch kwa hio wanamfichia ili hata asipate kuiona mpaka anaingizwa kaburini kumbe kuna mshenzi mmoja ametulia tu ameficha switch ya mtu mpaka mtu anakata pumzi switch yake hajawahi kuiwasha wala kuwashiwa

Kaa uzibe sio watu wazuri
Yeah ni kweli kabisaaa
 
Back
Top Bottom