The Consult
JF-Expert Member
- Jan 20, 2017
- 220
- 252
Wewe ni mtendaji wa Taasisi/Kampuni au mtu binafsi (an individual) na una NDOTO ya kujifunza na kutekeleza MRADI kwa manufaa yako binafsi na jamii kwa ujumla?
Timiza NDOTO yako leo kwa kuhudhuria MAFUNZO MAFUPI ya namna ya UANDAAJI WA MICHANGANUO YA MIRADI YA ASASI NA KIBIASHARA (PREPARATION OF PROJECT/BUSINESS PROPOSAL)
PAMOJA NA MAFUNZO HAYO;
Mshiriki utapata nafasi ya kuliendeleza wazo lako la MRADI hatua kwa hatua (kadiri utakavyokuwa ukijifunza na kwa msaada wa mkufunzi) na kuwa andiko kamili, kisha kupatiwa taarifa za ruzuku na ufafanuzi wake (current grants information and their clarification) na kuelekezwa namna ya utumaji wake, na hatimaye uweze kutuma MRADI wako kwa mfadhili.
SIKU : Tarehe 26 - 27 Novemba
MUDA : 3:30 Asubuhi – 10:30 Jioni
MAHALI: NEW SAVOY HOTEL, karibu na kituo cha gari moshi (Stesheni) Morogoro mjini.
ADA YA KIINGILIO: TSH 100,000 tu
UTARATIBU WA USHIRIKI NA MALIPO:
Thibitisha kushiriki kwako kwa kutuma JINA LAKO KAMILI kupitia namba ya simu/anuani ya barua pepe hapo chini.
Pia, TIKETI za kiingilio zinapatikana hotel ya NEW SAVOY
WAHI MAPEMA NAFASI NI CHACHE.
* NYOTE MNAKARIBISHWA *
The Consult; +255 719 518 367
E-mail- [email protected]
Dar es Salaam
Tanzania