Mafunzo maalum kwa wakazi wa mji wa Morogoro na vitongoji vyake

The Consult

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2017
Posts
220
Reaction score
252

Wewe ni mtendaji wa Taasisi/Kampuni au mtu binafsi (an individual) na una NDOTO ya kujifunza na kutekeleza MRADI kwa manufaa yako binafsi na jamii kwa ujumla?

Timiza NDOTO yako leo kwa kuhudhuria MAFUNZO MAFUPI ya namna ya UANDAAJI WA MICHANGANUO YA MIRADI YA ASASI NA KIBIASHARA (PREPARATION OF PROJECT/BUSINESS PROPOSAL)

PAMOJA NA MAFUNZO HAYO;

Mshiriki utapata nafasi ya kuliendeleza wazo lako la MRADI hatua kwa hatua (kadiri utakavyokuwa ukijifunza na kwa msaada wa mkufunzi) na kuwa andiko kamili, kisha kupatiwa taarifa za ruzuku na ufafanuzi wake (current grants information and their clarification) na kuelekezwa namna ya utumaji wake, na hatimaye uweze kutuma MRADI wako kwa mfadhili.

SIKU : Tarehe 26 - 27 Novemba

MUDA : 3:30 Asubuhi – 10:30 Jioni

MAHALI: NEW SAVOY HOTEL, karibu na kituo cha gari moshi (Stesheni) Morogoro mjini.

ADA YA KIINGILIO: TSH 100,000 tu

UTARATIBU WA USHIRIKI NA MALIPO:

Thibitisha kushiriki kwako kwa kutuma JINA LAKO KAMILI kupitia namba ya simu/anuani ya barua pepe hapo chini.

Pia, TIKETI za kiingilio zinapatikana hotel ya NEW SAVOY

WAHI MAPEMA NAFASI NI CHACHE.

* NYOTE MNAKARIBISHWA *


The Consult; +255 719 518 367
E-mail- theconsult38@gmail.com
Dar es Salaam
Tanzania
 
Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia threads zako hapa JF.
I believe u have got a something to share nasi.
Nihesabu kama mshiriki.
Pia Asante
 
siku hizi semina kibao..maskini ya MUngu hata hao wajasiriamali sijui km wanafaidika na hizo semina..anywys
Chief.
Elimu ya uandaaji wa Miradi na usimamizi wake kiujumla ni MUHIMU SANA kwa maendeleo ya jamii yoyote ile.
Serikali katika "levels" zote ; yaani serikali za mitaa mpaka serikali kuu, hutumia MICHANGANUO YA MIRADI kuombea fedha(Ruzuku) kwa wahisani kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo, hali kadhalika katika asasi za kiraia.

Hivyo ni muhimu elimu hii, ikajulikana vyema, ili kuleta manufaa kwa jamii.

Karibu Sana.
 



naelewa sana ....kila la heri...hyo 100000na msos au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…