Mafunzo maalumu ya ualimu kidato cha nne mbona kimya?

ismailyy

Senior Member
Joined
Jul 26, 2014
Posts
123
Reaction score
18
Wizara ya elimu na mafunzo ilitoa tangazo lakini cha kusikitisha had leo hawajatoa majibu.

Inahusu kusoma advance na diploma miaka mitatu 3. Mwenye tetesi naomba anijulishe maana naona selection za ualimu tayari zimetoka.
 
vuta subila mkuu yatatoka hivi karibun kwa sababu hata selection za certificate bado, yaliyotoka ni kwa walioomba stashahada ya juu (advanced diploma) na stashahada ya shule ya msingi, hata vyuo vingi kama tarime, murutunguru, ndala, na vingine bado hawajatangaza majina so be patient my friend
 

kweli certificate zitatoka au mnatupa moyo2 maana wengne tunaingia mitini na biashara coz elimu ya tanzania michosho wana maana gan kutotoha certificate ,wakati walisema tutume maombi siwangekataa sasa hvi wengne tungekuwa tunasoma vyuo vingne,kuliko kutupotezea muda,we are suffer for so long but for nothing,, source of street child mwisho wa siku umasikini elimu una ngazi ya master kazi una what are hell meen,
 
:cool2::flame: Kweli Ualimu dili wakuu
 

Ukweli ni kwa wizara imeshatoa majona ya walioomba ualimu ngazi ya cheti na stashahada,
Isipokuwa sasa kuna mabadiliko makubwa ambayo wengine yanawachanganya wanashindwa kuelewa. Ufafanuzi kama ifuatavyo
Ualimu ngazi ya cheti imefutwa kabisa na bafala yake kuna diploma ya kawaifa ya elimu ya msingi na awali
Ualimu wa sekondari diploma ya kawaida ya elimu ya sekondari nayo imefutwa na badala yake imeanzishwa diploma ya juu ya elimu ya sekondari.
Bridging course kwa form four wenye four imefutwa na hakuna mbadala.

Hivyo kwa mantiki hiyo wale walioomba ualimu ngazi ya cheti na walikuwa na divisheni three two au one wamechaguliwa diploma ya kawaida ya elimu ya msingi na awali kwa miaka miwili na wale form six walioomba diploma ya kawaida wamechaguliwa diploma ya juu ambayo nimiaka mitatu.
Pia kwa wale wa diploma ya juu kwa masomo ya sayansi wanatakiwa waombe mkopo bodi haraka mwisho wa maombi ni tarehe 10/9/2014
Kama bado hujaelewa nitafute kwa 0654817116
 
Vyuo vya Private vinavyoendelea na mafunzo ya Certificate inakuaje?
 
Vuta subra hakika wizara ya elimu bado haijatoa majina ila hayo ni ya nacte
Wizara ya elimu na mafunzo ilitoa tangazo lakini cha kusikitisha had leo hawajatoa majibu.

Inahusu kusoma advance na diploma miaka mitatu 3. Mwenye tetesi naomba anijulishe maana naona selection za ualimu tayari zimetoka.
 

Usiwavunje moyo wenzako ukweli ni huu kwamba mwaka huu kulikua na namna mbili za uombaji kwanza ni kupitia wizara ya elimu na pili kupitia nacte kwa hiyo basi nacte wameshatoa matokeo yao ambayo yanahusu diproma na wizara ya elimu bado haijatoa matokeo kuthibitisha hili kwamba hata waliopo chuoni ambao wanatarajia kujiunga mwaka wa pili matokeo hayajatoka kwa maelezo zaidi wasiliana na nacte kupitia email adress:admissions@nacte.go.tz
watakupa ufafanuzi kuhusu matokeo waliotoa wao
 
Nilipata division 4 point 26 nilifanya masomo 9 nikapa D flat maxomo 8 na nikapa B ya kiswahili nilimaliza mwaka 2008 form 4 naombeni mniangalizie kama yametoka
 
Tatizo wizara nao hawatoi majibu kwa huu mkanganyiko ili kuwaweka vijana ktk mstari, lakini mbona wamechelewa kutoa hivi?
 
Xaxa Wale Waliomaliza Mwaka Jana Na Hawakuchaguliwa Je Wanaweza Kuchaguliwa Kwenye Hiyo Program
 
Mbona kuna mkanganyiko??Special programs za ualimu NACTE walitoa vyuo vyao ambavyo ni pamoja na Udom,St John,Capital TTC na vingine vingi..lakini katika hiyo majina hakuna hata mmoja aliechaguliwa kwenye vyuo niliovitaja...ndo maana yake nini????
 
Mbona kuna mkanganyiko??Special programs za ualimu NACTE walitoa vyuo vyao ambavyo ni pamoja na Udom,St John,Capital TTC na vingine vingi..lakini katika hiyo majina hakuna hata mmoja aliechaguliwa kwenye vyuo niliovitaja...ndo maana yake nini????

matokeo waliyotoa nacte ni ya wizara ya elimu, mfaham nacte ni tawi la wizara ya elimu, kwa kuwa wizara ilitoa tangazo kwamba hadi wenye4 masomo ya sayansi waombe, alafu wakafanya mabadiliko bila raia kufaham, kwa hiyo nacte wametangaza matoke ya waliochaguliwa ualimu kwa niaba ya wizara ya elimu, nacte yale ya kwao hawaja ya toa bado, kwahiyo kama ulikuwa div1-3 ingia uangalie dip ya awali na msingi, ni wale waliomba cheti wamebadilishiwa ndio wamepata promoshen ya dip. Mm niliomba wizara kwa njia ya posta na nimechaguliwa 0763246275
 
bakar wacha kudanganya raia hakuna mabadiliko yaliyotokea course zilizo tangazwa na nacte ndizo wameztolea majibu na wala hakuna course iliyotangazwa na wizara na ikatolewa majibu na nacte jaribu kufuatilia co kuongea tu kwa taarifa kozi zilizotangazwa na wizara zipo chini yake ndio maana ht matangazo yao ulikuwa unatuma kwa katibu mkuu na application za nacte zilikuwa znaenda direct barazani ht kozi pia nitofauti za nacte na wizara fuatilia jmn .
 
Naomba muniangalizie naitwa elton mathayo nina division 3 ya 28
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…