Mafunzo maalumu ya ualimu kidato cha nne mbona kimya?

Mafunzo maalumu ya ualimu kidato cha nne mbona kimya?

bakar wacha kudanganya raia hakuna mabadiliko yaliyotokea course zilizo tangazwa na nacte ndizo wameztolea majibu na wala hakuna course iliyotangazwa na wizara na ikatolewa majibu na nacte jaribu kufuatilia co kuongea tu kwa taarifa kozi zilizotangazwa na wizara zipo chini yake ndio maana ht matangazo yao ulikuwa unatuma kwa katibu mkuu na application za nacte zilikuwa znaenda direct barazani ht kozi pia nitofauti za nacte na wizara fuatilia jmn .

Lupeke & Bakari Hemedi wapo sahihi
 
Kwa hyo unataka kuniambia mkuu kuwa bado kuna majina mengine ambayo yatatoka kupitia wizara ya elimu mbona wanatuchanganya lakini ebu naombeni ufafanuzi jamani make nimekosa amani wakati maksi zangu znaruhusu kabisa
 
Matokeo yametoka na tetesi nilizosikia wametoa kipaumbele zaid kwa waliopata div I-III na waliomaliza 4m 4 2013 kwa vyuo vya korogwe,kleruu na udom mwenye more info atujuze hapa
 
Back
Top Bottom