Mafunzo online Electronics,Electrical and ICT

Transistor

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
1,061
Reaction score
1,637
TANZANIA ELECTRICAL,ELECTRONICS AND ICT SOLUTION ONLINE

Tunakaribisha watu binafsi katika kupokea mafunzo ya Electrical,Electronics na ICT kwa njia ya mtandao(ONLINE),

Mafunzo yetu yana lengo la kuwasaidia wale ambao wanahitaji kuboresha,kuongeza ama kujifunza ujuzi zaidi kuhusiana na fani husika hapo juu.

Mafunzo yetu si kwa ajili ya kupata vyeti bali kutanua uwanda wa ufahamu au ujuzi wa wale ambao tayari wana vyeti,wanafunzi wa vyuo mbalimbali,wafanyakazi na watu binafsi kwa njia ya kimtandao.

Kwa washiriki watakao hitaji mafunzo kwa njia ya vitendo,wanaruhusiwa kama tu watakua tayari kugharamia huduma hiyo.

Mafunzo yetu yatatolewa kwa maombi ya Lugha ya mhusika katika lugha ya Kiingereza au Kiswahili.

1.ELECTRICAL AND ELECTRONICS UPGRADE FOR INDIVIDUAL
*Kuongeza ufahamu kwa wenye ufahamu tayari
-Wafanyakazi
-Wanafunzi
-Watu binafsi

2.ELECTRONICS INVENTION AND PROJECT DEVELOPMENT
-Kuboresha na kushauriana kwa wazo la kigunduzi
-Kuendeleza na kuboresha ugunduzi na miradi mbalimbali iliyoanza.

3.RADIO AND INFRARED REMOTE COMMUNICATION
-Elimu na mafunzo juu ya ubunifu na uundaji mifumo ya kimawasiliano ya Radio na Mwanga

4.WIND AND SOLAR ELECTRICAL ENERGY
-Elimu,mafunzo na ubunifu wa uzalishaji wa nguvu za umeme kupitia nguvu asili ya jua na nguvu ya upepo.

5.ELECTRONICS TUTORIAL AND PROJECT FOR STUDENTS
-Kushiriki ujenzi wa project na Tutorial za wanafunzi kuhusiana na Electronics
6.EGGS INCUBATOR AND HATCHER CLASS
-Mafunzo,Ubunifu na ujenzi wa mashine za kutotoreshea vifaranga wa ndege mbalimbali.

7.ELECTRICAL INSTALLATION AND WIRING CLASS
Mafunzo na ushiriki wa miradi ya kazi na michoro ya Electrical installation na wiring.

8.DIGITAL SWITCHING AND AUTOMATION
-Mafunzo,ushiriki na ujenzi wa miradii ya mashine za uratibu kidigitali na kujiendesha.

9.INDUSTRIAL ELECTRICAL
-Mafunzo ya uendeshaji na uratibu wa mashine na motor

KWA MAELEZO ZAIDI jiunge na group letu la pamoja kwa watu wote link hii hapa

Attachments

  • TEEISO.pdf
    TEEISO.pdf
    314.3 KB · Views: 27
  • ProductMarketingAdMaker_04052023_182724.png
    ProductMarketingAdMaker_04052023_182724.png
    1.1 MB · Views: 27

Au unaweza nicheki moja kwa moja WHATSUP au PIGA 0678147325

Kwa practical au theory..

*Pia kwa wanafunzi wa vyuo au watu wenye project binafsi za electronics nafanya consultation za kiufundi.

Au kwa mtu yoyote ambaye alikua anahitaji mchoro wa electronics kutengeneza project flani,nafanya designing from scrach

*Au kwa,mtu yoyote anayehitaji kuundiwa project yoyote ya Electronics au umeme nafanya hivyo pia
 
Back
Top Bottom