Evans Martin Senior Member Joined Jan 14, 2014 Posts 156 Reaction score 36 Mar 12, 2014 #1 Nmezoe kuona vyuo vinavyotoa mafunzo ya udereva wa magari ili cjaona mafunzo ya uendeshaji pikipiki ila leo nmeona chuo kinachotoa mafunzo ya uendeshaji baiskeli na wanafunzi wamejaa si kawaida.!
Nmezoe kuona vyuo vinavyotoa mafunzo ya udereva wa magari ili cjaona mafunzo ya uendeshaji pikipiki ila leo nmeona chuo kinachotoa mafunzo ya uendeshaji baiskeli na wanafunzi wamejaa si kawaida.!
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Mar 12, 2014 #2 Ha ha ha,dah!nimecheka,ni wapi huko mkuu?
G Gogoo JF-Expert Member Joined Mar 23, 2013 Posts 232 Reaction score 35 Mar 12, 2014 #3 kiko mkoa gani?. Weka picha ya chuo na wanafunzi wakijifunza baiskeli
Tony Gwanco JF-Expert Member Joined Jan 22, 2013 Posts 5,913 Reaction score 1,215 Mar 12, 2014 #4 kipo ufipan?
Kizimbuzi JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 1,569 Reaction score 745 Mar 12, 2014 #5 Duh, sasa kitakuja na chuo cha maguta
Kizimbuzi JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 1,569 Reaction score 745 Mar 12, 2014 #6 Gogoo said: kiko mkoa gani?. Weka picha ya chuo na wanafunzi wakijifunza baiskeli Click to expand... ----- Hivi JF bila picha haiendi?)))/
Gogoo said: kiko mkoa gani?. Weka picha ya chuo na wanafunzi wakijifunza baiskeli Click to expand... ----- Hivi JF bila picha haiendi?)))/