Mafunzo ya baisikeli.!

Mafunzo ya baisikeli.!

Evans Martin

Senior Member
Joined
Jan 14, 2014
Posts
156
Reaction score
36
Nmezoe kuona vyuo vinavyotoa mafunzo ya udereva wa magari ili cjaona mafunzo ya uendeshaji pikipiki ila leo nmeona chuo kinachotoa mafunzo ya uendeshaji baiskeli na wanafunzi wamejaa si kawaida.!
 
Ha ha ha,dah!nimecheka,ni wapi huko mkuu?
 
kiko mkoa gani?. Weka picha ya chuo na wanafunzi wakijifunza baiskeli
 
Back
Top Bottom