Pengine ya bureHiyo elfu 50 ya nini??
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Pengine ya bure
Ukiionea uchungu utatoka na chochote... Sometimes ikiwa bure kabisa uzingativu huwa mdogoLengo ni hiyo 50K
Ukiionea uchungu utatoka na chochote... Sometimes ikiwa bure kabisa uzingativu huwa mdogoLengo ni hiyo 50K
Tehetehe[emoji16][emoji16][emoji16]Pengine ya bure
Huwa ndo najiulizaga hili swali kila mara kama inakulipa kwa nini ung'ang'anie pesa za watu za training? kama hoja ni kusaidia watanzania wafanye bure wawape financial freedom yaani kila mmoja huwa anataka kufundisha watu hii biashara hii kama unaweza ni kupigana mwenyewe tuu maana anayetaka elfu 50,000 mara sijui USD 200 sijawahi kumwona hata anafundishaje unaenda unatoa laki mbili kumbe mwalimu mweyewe kilaza anakupa yaleyale uliyosoma kwenye vitabu yaani basic knowledge tuuJifundisheni nyie na familia zenu. Kama inalipa mnahangaika nini na 50000 za watu?
Utafundishwa strategy za uhakika kama Pure price action, Elliot n.kHuwa ndo najiulizaga hili swali kila mara kama inakulipa kwa nini ung'ang'anie pesa za watu za training? kama hoja ni kusaidia watanzania wafanye bure wawape financial freedom yaani kila mmoja huwa anataka kufundisha watu hii biashara hii kama unaweza ni kupigana mwenyewe tuu maana anayetaka elfu 50,000 mara sijui USD 200 sijawahi kumwona hata anafundishaje unaenda unatoa laki mbili kumbe mwalimu mweyewe kilaza anakupa yaleyale uliyosoma kwenye vitabu yaani basic knowledge tuu
ahhahhha unazeeka vibaya wewe mzeePengine ya bure