Mafunzo ya biashara ya Forex bure

Guvid

Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
58
Reaction score
16
Siku ya kwanza
Forex for beginers ni bure...
 

Attachments

  • fdi.jpg
    125.5 KB · Views: 136
Jifundisheni nyie na familia zenu. Kama inalipa mnahangaika nini na 50000 za watu?
 
Naona umebadili style baada ya kujisifia
 
sasa kama inalipa si utumie muda mwingi kucheza huo mchezo wa kamali
 
Jifundisheni nyie na familia zenu. Kama inalipa mnahangaika nini na 50000 za watu?
Huwa ndo najiulizaga hili swali kila mara kama inakulipa kwa nini ung'ang'anie pesa za watu za training? kama hoja ni kusaidia watanzania wafanye bure wawape financial freedom yaani kila mmoja huwa anataka kufundisha watu hii biashara hii kama unaweza ni kupigana mwenyewe tuu maana anayetaka elfu 50,000 mara sijui USD 200 sijawahi kumwona hata anafundishaje unaenda unatoa laki mbili kumbe mwalimu mweyewe kilaza anakupa yaleyale uliyosoma kwenye vitabu yaani basic knowledge tuu
 
Utafundishwa strategy za uhakika kama Pure price action, Elliot n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…