Mafunzo ya computer Microsoft office package

Mafunzo ya computer Microsoft office package

Katika vitu nilivyokataa kufundishwa ni pamoja na hizi course za kompyuta, maana ni upuuzi tu!
Kitu cha kwanza unatakiwa uwe na pc, vingine vyote utavijua tu!
Labda Paint ndio angalau utaweza kujifunza juu juu kitu kama Excel kuitumia kikazi lazm uingie darasani
 
Alafu mtu anasema anaweza bila kufundishwa
 

Attachments

  • Screenshot_20240712-221259.jpg
    Screenshot_20240712-221259.jpg
    233.3 KB · Views: 14
BSK basic computer application online.

SWAHILI.

Ninafundisha (online na offline) basic computer application/Microsoft office package kwa walio makazini na ambao hawako makazini (Mtu yoyote) kulingana na ratiba yako.

1. Excel.
2. Database (Microsoft access).
3. PowerPoint.
4. Word.
5. Computer theory BURE.

Piga: +255 759 448 927.


Ninauzoefu wa kutosha ambao utakufanya kuielewa vizuri computer.

Kuelewa ni kipaumbele.

+255 759 448 927.

ENGLISH.

BSK basic computer application online.

I teach basic computer application (online and offline) for in-service employees and non in-service employees (anyone) on your own time table.

1. Excel.
2. Database (Microsoft access).
3. PowerPoint.
4. Word.
5. Computer theory FREE.

I have a lot of experience that going to make you perfect in computer.

Understanding is my priority.

+255 759 448 927.
 
Back
Top Bottom