Mafunzo ya electronics na electrical kwa watu binafsi na wanafunzi wa vyuo

Transistor

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
1,061
Reaction score
1,637
Mafunzo huria ya kozi fupi ya electrical pamoja na electronics

Nafundisha kozi zifuatazo,kwa wanafunzi wa vyuo na watu binafsi.

1.Introduction to electronics

*Basic electronics in general

(i)Theory na Practical Tsh 300,000/
*muda miezi 3

2. Audio Amplifire and booster Design and building
(i)Theory Tsh 300,000/
(ii)Practical bure ila vifaa unajitegemea,ukiunda unaondoka nayo.
*muda miezi 2
*Uwe tayari una msingi wa electronics

2.Digital Switching design and building

*Timer and Detector (Digital control,Temperature control,humidity control,Automatic irrigation system,Detector and Counter,Turner,Automation)
*Muda miezi 2
*Uwe tayari una msingi wa electronics

3. Arduino programming and Intergration

(i)Theory Tsh 150,000/
(ii)Practical bure ila vifaa unajitegemea,pia hakikisha una computer binafsi kujifunza kozi hii.
*Muda mwezi 1.
*Uwe tayari una msingi wa electronics na elimu ya computer especial katika language ya C na C++

4.Power system and backup design and building

* Power Inveter (Pure Sine wave and Modified sine wave)

* UPS

*Free electrical energy(green energy).

*Wind and water generators

*Solar energy pannel

*Uwe tayari una msingi wa electronics na electrical

Zingatia
Kwa mwanafunzi/au kikundi cha wanafunzi kitakachotaka kufatwa na kufundishiwa walipo ndani Dar gharama ya ziada ni 100,000

Kama unahitaji mafunzo ya kozi ambazo hazijaandikwa hapa,unaweza kuwasilisha kozi yako na ukafahamu gharama na utaratibu.

Kwa wanafunzi ambao wanahitaji msaada wa kufanya practical za tutorial za electronics gharama ni 50,000/

Kwa msaada wa mafunzo ya practical tu ya kozi hizo hapo juu gharama ni 100,000/

Pia kwa ambao sio wanafunzi wa vyuo,na wanajifunza electronics,binafsi,ambao wanahitaji kurasimisha taaluma yao ya electronics,kupitia VETA,tutawasaidia katika kulitekeleza hilo.

Gharama hizi hazina uhusiano na gharama za urasimishaji wa mafunzo.

Unaweza kwenda VETA kufahamu taratibu zao za urasimishaji wa taaluma yako ya electronics ili uweze kupata cheti.

Pia natoa huduma ya kukuza taaluma yako ya electronics katika practical na theory,kwa wanafunzi,vyuo au mtu binafsi.

Pia tunadesign vifaa mbalimbali vya umeme,kwa shughuli mbalimbali za kijamii.

Mawasiliano 0629068815

Eng.Transistor.
 
Good, ila swali ni je, wanafunzi wako watatambulika na bodies nyingine za kitaaluma?unatoa cheti baada ya mafunzo?competency yao itapimwaje? Etc-etc au unatengeneza wamachinga wataalamu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Good,ila swali ni je,wanafunzi wako watatambulika na bodies nyingine za kitaaluma?unatoa cheti baada ya mafunzo?competency yao itapimwaje? Etc-etc au unatengeneza wamachinga wataalamu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umesoma mpaka mwisho?kwa sasa VETA ina utaratibu wa kurasimisha taaluma za ufundi mbalimbali,ambapo mafundi wengi ambao wamepata taaluma katika njia isiyo rasmi wanarasimishwa kwa kupewa vyeti baada ya uhakiki wa utaalamu wao.

Ninachofanya mimi kwa watu binafsi ambao hawapo shule ama vyuoni ni kukupa wewe taaluma ambayo itakusaidia kufaulu majaribio ya VETA ili uweze kupata cheti chao.

Ni kama ambavyo ww unaweza kujisomea mwenyewe na ukaenda NECTA kufanya mtihani ili ukifaulu wakupecheti,yaani warasimishe elimu yako haijarishi umesomea wapi kikubwa ufaulu mitihani yao.
 
Mkuu
Mafunzo huria ya kozi fupi ya electrical pamoja na electronics

Nafundisha kozi zifuatazo,kwa wanafunzi wa vyuo na watu binafsi.

1.Introduction to electronics

*Basic electronics in general

(i)Theory na Practical Tsh 300,000/
*muda miezi 3

2. Audio Amplifire and booster Design and building
(i)Theory Tsh 300,000/
(ii)Practical bure ila vifaa unajitegemea,ukiunda unaondoka nayo.
*muda miezi 2
*Uwe tayari una msingi wa electronics

2.Digital Switching design and building

*Timer and Detector (Digital control,Temperature control,humidity control,Automatic irrigation system,Detector and Counter,Turner,Automation)
*Muda miezi 2
*Uwe tayari una msingi wa electronics

3. Arduino programming and Intergration

(i)Theory Tsh 150,000/
(ii)Practical bure ila vifaa unajitegemea,pia hakikisha una computer binafsi kujifunza kozi hii.
*Muda mwezi 1.
*Uwe tayari una msingi wa electronics na elimu ya computer especial katika language ya C na C++

4.Power system and backup design and building

* Power Inveter (Pure Sine wave and Modified sine wave)

* UPS

*Free electrical energy(green energy).

*Wind and water generators

*Solar energy pannel

(i)Theory Tsh 300,000/
(ii)Practical bure ila vifaa unajitegemea,ukiunda unaondoka nayo.
*Muda miezi 2
*Uwe tayari una msingi wa electronics na electrical

Zingatia
Kwa mwanafunzi/au kikundi cha wanafunzi kitakachotaka kufatwa na kufundishiwa walipo ndani Dar gharama ya ziada ni 100,000

Kama unahitaji mafunzo ya kozi ambazo hazijaandikwa hapa,unaweza kuwasilisha kozi yako na ukafahamu gharama na utaratibu.

Kwa wanafunzi ambao wanahitaji msaada wa kufanya practical za tutorial za electronics gharama ni 50,000/

Kwa msaada wa mafunzo ya practical tu ya kozi hizo hapo juu gharama ni 100,000/

Pia kwa ambao sio wanafunzi wa vyuo,na wanajifunza electronics,binafsi,ambao wanahitaji kurasimisha taaluma yao ya electronics,kupitia VETA,tutawasaidia katika kulitekeleza hilo.

Gharama hizi hazina uhusiano na gharama za urasimishaji wa mafunzo.

Unaweza kwenda VETA kufahamu taratibu zao za urasimishaji wa taaluma yako ya electronics ili uweze kupata cheti.

Pia natoa huduma ya kukuza taaluma yako ya electronics katika practical na theory,kwa wanafunzi,vyuo au mtu binafsi.

Pia tunadesign vifaa mbalimbali vya umeme,kwa shughuli mbalimbali za kijamii.

Mawasiliano 0629068815

Eng.Transistor
Mkuu unafundisha generator
 
Back
Top Bottom