Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

Kwa ufupi laki 2 si chochote wala lolote kwa greenhouse
 
My take mkulima kama si bora shambani nnje jua huwezi kua mkulima bora kwenye green house, kua kwanza mkulima bora wa nnje kisha ndio uamie gh kama huwezi tafuta mtaalam wa kilimo wa kua karibu nawe mwanzo mpaka mwisho wa kilimo ,kilimo pia ni taaluma kama uhasibu ,udereva etc si kila mtu anaweza ifanya kwa mafunzo ya siku au miezi kadhaa utajua general lakini tambua magonjwa,wadudu yanahitaji taaluma zaidi ya kuisomea darasani. Ahsanteni
 
NAHITAJI MSADA
Nina greenhouse na nimepanda nyanya, baada ya miezi miwili zimekua hadi kukaribia juu ya paa huku matunda yakiwa baado madogo sana.
Lakini kibaya zaidi miche inakauka mmoja mmoja bila sababu ya msingi.

Je linaweza kuwa ni tatizo gani?
 
Kwa ufupi laki 2 si chochote wala lolote kwa greenhouse
Kweli, huyo ni tapeli. Hiyo gharama ni ndogo sana.
hyo garama mbona ndogo sna utatumia simtank yalita ngapi?na aina ya material IKOJE?
mkuu yaani hiyo hela uliyoweka hapo ni makadirio ya kujenga greenhouse au maana sijaelewa
nyie hamjamuelewa jamaa, yeye alikua anataka tu namba ya huyo binti, baada ya kuvutiwa na avatar yake
 
mkuu, kuna huyu mdau hapa jukwaani anaitwa greenhouse namba zake hizi 0714 881 500
jaribu kumtafuta atakusaidia
 
huu ni utapeli uliopitiliza, kilimo ni vitendo sio kwenye vitabu
 
Vitendo bila ujuzi ndugu??
wewe inakuingia akilini uuziwe hiyo mambo yake kwa 20,000 bila mafunzo yoyote kivitendo?? manual za kilimo zipo free online, unawe kupata video za YouTube free kabisa kuhusu kutengeneza greenhouse kwa gharama nafuu
 
Ulipima udongo ulipojenga green house !? Tafuta afisa kilimo kama uko Arusha naweza kusaidia kama ni nnje ya Arusha sitaweza, tafuta bwana shamba acheki ni mnyauko wa nn bacteria,fusarium au nematodes,akifahamu wa nini atakupa suluhisho kama ni kuweka mbolea nyingi ya samadi (nematodes) au kutafuta udongo ambao hauna bacteria wala fungus wa mnyauko uweke kwenye mifuko au ndoo uziweke kwenye gh yako,ni kosa kujenga gh bila kupima udongo kujua una nn na nn pia maji muhimu kuyapima maana udongo unaweza kua safi maji yakaleta ugonjwa ,tambua si rahisi ugonjwa kuingia kwenye gh na si rahisi ugonjwa kutoka ukishaingia kwenye gh
 
Nataka kuwa na greenhouse (Screenhouse) kwa ajili ya ukulima wa mboga. Tatizo langu ni jinsi ya kutengeza udongo wa kutumia ndani ya hiyo greenhouse, jinsi ya kupata mbinu za drip irrigation ili nipunguze watu kuingia na kutoka. Nomba msaada.
 
Be carefully jamani hakuna greenhouse ya 200000 .hy laki mbili ilo eneo lina ukubwa gani,acha kudanganya watu
 
Asante kwa taarifa hiyo ila nadhani sasa hivi A To Z pale Arusha wanaweza kabisa kunipa kwa gharama nafuu. pia naona anaeleza mambo ya soil testin kufanya nchi jirani. Hakuna umuhimu maana naweza kufanya kwa watu wa SUA wako perfect.

Nilichokuwa naomba siyo taarifa hii ya kibiashara zaidi, nilitaka exchange ya mazungumzo ili kuweza kupata general knowledge ya kujiendesah mwenyewe.
 
Mkuu, Hakuna Gh yenye udogo zaidi ya hiyo, au ukiweka ndogo ya hapo faida aitakuwa kubwa...
 
Nyanya kuna wakati zinashuka sana bei,km mwaka huu mwezi wa kwanza hadi wa pili bei ilikuwa ni ya kutupa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…