Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

nimejaribu kusoma kwa umakini sana hii thread pamoja na supporters wake na naona imeelemea upande mmoja ambao ni BIASHARA YA KITABU.... hii ni jamiiforums kwaajili ya wote na kwa wote.. nadhani hii thread inaeserve kuwekwa kwenye section ya matangazo madogomadogo... mkuu Biashara2000

kama unataka kutoa elimu jaribu kutoa bure kama kwa kuiga mfano wa hawa baadhi niwajuao na wanatoa ushauri makini mnoo
GreenHouse , [URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=158670"]Mwl.RCT , [URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=97171"]Njunwa Wamavoko , [/URL][/URL] wakiwa ni baadhi tu ya watu humu JF tunaowaomba ushauri na kutoa maelezo bila choyo. na hawa ndio walioni enspire mimi binafsi kuingia JF kwa miguu miwili...
hawa supporters wako ni mashabiki dedicated kweeeli kina
Media Zetu , Smart2014 , sisi sio watazamaji pia tunaweza kuwa wateja. lugha ya upole na majibu yaliyoshiba ndio busara ya JF itakayonogesha na kukupa hata hamu ya kuendelea kutizama yoote yaliyo humu... najua una info nyingi ila naona kidogo GreenHouse anaelezea vyema na kutoa elaboration ya picha na siyo kubishana na wateja wake.. ni mtazamo tu mwana JF mwenzangu.
 
nimejaribu kusoma kwa umakini sana hii thread pamoja na supporters wake na naona imeelemea upande mmoja ambao ni BIASHARA YA KITABU.... hii ni jamiiforums kwaajili ya wote na kwa wote.. nadhani hii thread inaeserve kuwekwa kwenye section ya matangazo madogomadogo... mkuu Biashara2000

kama unataka kutoa elimu jaribu kutoa bure kama kwa kuiga mfano wa hawa baadhi niwajuao na wanatoa ushauri makini mnoo
GreenHouse , Mwl.RCT , Njunwa Wamavoko , wakiwa ni baadhi tu ya watu humu JF tunaowaomba ushauri na kutoa maelezo bila choyo. na hawa ndio walioni enspire mimi binafsi kuingia JF kwa miguu miwili...
hawa supporters wako ni mashabiki dedicated kweeeli kina
Media Zetu , Smart2014 , sisi sio watazamaji pia tunaweza kuwa wateja. lugha ya upole na majibu yaliyoshiba ndio busara ya JF itakayonogesha na kukupa hata hamu ya kuendelea kutizama yoote yaliyo humu... najua una info nyingi ila naona kidogo GreenHouse anaelezea vyema na kutoa elaboration ya picha na siyo kubishana na wateja wake.. ni mtazamo tu mwana JF mwenzangu.

Nashukuru sana kwa ushauri wako
 
Ni habari njema kwa watu wa kati kama mimi asante kwa kuniamsha nilipolala jana siamkii leo....
 
Nina eneo la ekari 12, lakini baada ya kuliona na kujifunza Kilimo cha greenhouse nimeamua kutafuta moja. Mtaalamu mwengine amenishauri nianzie kwenye ukulima wa shed nets(chandarua cha kuzuia jua ) kwani in being poa name Nina eneo kubwa. Naomba mawazo zaidi
 
Waganga wa kienyeji bana? unaenda kwake akufanye uwe tajiri wakati yy hana kitu? y mstajirike wenywe kwanza tukaona?

mnaingiza watu chaka na biashara zenu

Umejuaje?
 
Mkuu inategemea unalima nini, kama ni value products (mfano bangi) au mazao yenye market ambayo yapo scarce na sokoni hayapo au ni ya bei ya juu then tumia mfumo huu wa kulima; kama unavyojua

Net Profit yako ni baada ya kutoa running costs zote.., sasa kama unalima nyanya kwenye green house wakati jirani yako yeye kazimwaga tu hapo nje (kumbuka wewe itabidi uuze bei ya juu ili upate faida kama yeye) pia sababu ya Capital investment yako itakuchukua muda ku-break even.. (lakini kama una soko tayari na ushafanya hesabu na kuona inalipa kila la kheri...,

Kumbuka faida ni pamoja na yield kubwa zaidi na kuweza kulima kwa msimu mzima na urahisi wa ku-control magonjwa n.k., lakini gharama ni bigger advantage.., kwahio angalia sana unalima nini (maua yanaweza yakakulipa sababu yana soko nje ya nchi)

Mkuu kulima bangi tena?
 
mkuu, badala ya kubishana Hebu tuelezee matilio yanayotumika, ikiwezekana na aina ya greenhouse pia ikiwezekana na ile ya net, msaada tafadhali

Unapiga namba hii 0719222722 ni balton arusha kisha unanunua vifaa kwa maelezo tunaykupa kisha km ukitaka tunakuja kukujngea. Kuna net, plastics n.k
 
Ushauri kuhusu kiimo cha greenhouse unatolewa bure iwapo una mpango wa kulima ktk gh au nje
 
dah kwa aina hii ya watanzania wanacomment hapa ni vigumu sana kujikwamua na umasiini,utakuta mtu anacomment rubbish akatiyuko dsm ambako anaweza enda onana na huyo jamaa ana kwa ana,jfimevamiwa na watoto wa facebook ck hizi
 
Jamani kuna waliofanikiwa katika hili? tupeni mwongozo ipi ni njia njema ya greenhouse, huyu wa .5m au yule was 2.5m au yule wa 5m?
kilimo cha green house ni very challenging kwa Tanzania kwa sababu ya gharama na pia bei ya mazao haitabiriki hii ni kutokana na uzoefu wangu, kwa mimi ningeshauri wa Tanzania waanze na Drip line ili kupata uzoefu kabla ya kupoteza mamilioni.
 
Kuna jambo ambalo nimekuwa nikiulizwa sana kuhusu mbegu gani ni nzuri kutumia katika greenhouse hasa ktk kilimo cha nyanua. Wengi wanata kujua km Anna F1 ni bora kuliko nyingine. Kw experience yangu ya kuitumia nimegundua kuwa inatoa mazao mengi ila haivumilii maeneo yasyo na maji mengi kama ilivyo mbegu aina nyingine km Eva n.k. Ningewashauri watu watumie Eva inavulimiia ukame
 
[video]https://youtu.be/yCu2nghcDR4[/video]

Hii ni kipande cha video kinachoonyesha shamba langu sehemu kidogo ambapo utona kwa kifupi ni jinsi gani formula hii ya kilimo cha kisasa inavyolipa
 
Nawashauri kwa wale wasionauwezo sana Kuna dripline za watu wa hali ya chini an imefanya mageuzi makubwa ya umwagiliaji india na China,kampuni yenyewe inaitwa Driptech na hivi sasa zinapatikana nchini kwa dola 580 kwa heka moja, angalia kwenye YouTube Driptech.
 
Asante kwa maelezo yako mazuri.

Kwa wale wasiokuwa na hata hiyo dola mia kadhaa wanaweza tumia mtindo ulioanza kuutumika siku za hivi karibuni za watu kuchukua mipira hii ya kawaida ya kumwagilia bustani na kuamua kuitoboa kwa chini vitobo vitobo na kuifanya iweze kumwagilia kw matone
 
Back
Top Bottom