JZHOELO
Senior Member
- Sep 20, 2011
- 196
- 357
nimejaribu kusoma kwa umakini sana hii thread pamoja na supporters wake na naona imeelemea upande mmoja ambao ni BIASHARA YA KITABU.... hii ni jamiiforums kwaajili ya wote na kwa wote.. nadhani hii thread inaeserve kuwekwa kwenye section ya matangazo madogomadogo... mkuu Biashara2000
kama unataka kutoa elimu jaribu kutoa bure kama kwa kuiga mfano wa hawa baadhi niwajuao na wanatoa ushauri makini mnoo
GreenHouse , [URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=158670"]Mwl.RCT , [URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=97171"]Njunwa Wamavoko , [/URL][/URL] wakiwa ni baadhi tu ya watu humu JF tunaowaomba ushauri na kutoa maelezo bila choyo. na hawa ndio walioni enspire mimi binafsi kuingia JF kwa miguu miwili...
hawa supporters wako ni mashabiki dedicated kweeeli kina
Media Zetu , Smart2014 , sisi sio watazamaji pia tunaweza kuwa wateja. lugha ya upole na majibu yaliyoshiba ndio busara ya JF itakayonogesha na kukupa hata hamu ya kuendelea kutizama yoote yaliyo humu... najua una info nyingi ila naona kidogo GreenHouse anaelezea vyema na kutoa elaboration ya picha na siyo kubishana na wateja wake.. ni mtazamo tu mwana JF mwenzangu.