Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kabla ya yote hizi zinazojengwa ni green house au mahema? (ukiacha zile za maua).
unajenga green house/hema la milioni nane ambayo ungeweza kununua shamba ekari tano za shamba lenye maji.
unalima nyanya za kwenda kuuza kariakoo sawa na alielima shambani. bora hata ungepata tenda supermarket au hotelini.
kuna ulazima kwa sisi wenye ardhi kubwa hivi kujenga hizi green houses?
hivi hizi green houses zetu unaaweza control hali ya hewa? kwani ukame ukija hauingii kwenye magreen house? strong wind ikija hata green house/hema litabomoka. wadudu labda panzi ndiyo itawazuia lakini siyo magonjwa kama fungus. pia unazuia wadudu unakosa uchavushaji.Kama hujui kitu mkuu ni bora ukakaa kimya au ukauliza kistaarabu utajibiwa vyema tu...
Kulima kama unavyosema ni kienyeji kwasababu huwezi ku-control hali ya hewa...
Unaweza kulima kama unavyosema ukaja ukame mkubwa na huna plan B utafanyaje?...
Au kukiwa na strong winds, wadudu wakivamiwa utawezaje kucontrol hali hiyo?...
Mazao utakayoyapata kwenye hiyo greenhouse kwa mwaka yanazidi yale utakayopata kwenye eka nzima na yatakuwa bora zaid...
Makampuni makubwa ulimwenguni yanatumia greenhouse kwasababu inawasaidia, wewe kama nani unazitolea maneno machafu?...
Jifunze kilimo cha tija na cha kisasa, sio kulima kienyeji...
wayahhudi wako jangwani, hawana maji ya kutosha tofauti na sisi. green houses zipo kwaajili ya maeneo yenye extreme weather na kwaajili ya delicate crops kama maua. haya mambo ya vitunguu ni kkukosa storage nzuri na matumizi ya madawa wakati wa masika.Mkuu poe sana, kuna uwezekano huna uzoefu wa kilimo. Aliebuni Greenhouse ana sababu za msingi. Umewahi kujiuliza kipindi cha masika kwanini Nyanya, vitunguu, Hoho na Karoti Uadimika?, Kwanini hao wenye mashamba makubwa wanashindwa?. Umewahi kujiuliza kwanini Wayahudi ndio wanaongoza kwa kuuza mbongamboga duniani ingawa wako Jangwani?. Ukijua majibu haya vizuri utarudi kuomba msamaha
Makaribishwa katika iara ya kujifuna kilimo ha nyanya katika greenhouse siku ya juamosi ya wiki ijayo. karibuni
hivi hizi green houses zetu unaaweza control hali ya hewa? kwani ukame ukija hauingii kwenye magreen house? strong wind ikija hata green house/hema litabomoka. wadudu labda panzi ndiyo itawazuia lakini siyo magonjwa kama fungus. pia unazuia wadudu unakosa uchavushaji.
hiyo habari ya return kubwa ndiyo mnapolizwa. mita mraba 200 haziwezi kuzidi ekari kwa uzalishaji iwapo mbolea, maji, madawa na huduma vinawiana.. unjenga hema la 8m kwaajili ya kuzuia panzi na nyuki wachavushaji.
Mwanzo kidogo nilikuwa nahisi hoja yako ni kuelemishwa.
Ila kwa post hii ndio nimeelewa kweli kwamba Hujui hata nini Maana ya Greenhouse.Acha story za vijiweni.
Wenzio Kenya tu hapo wanamashamba hadi Juu ya Ghorofa,we unasema hizi Greenhouse za kwetu za chini ya Ardhi.
kama hujui kitu mkuu ni bora ukakaa kimya au ukauliza kistaarabu utajibiwa vyema tu...
Kulima kama unavyosema ni kienyeji kwasababu huwezi ku-control hali ya hewa...
Unaweza kulima kama unavyosema ukaja ukame mkubwa na huna plan b utafanyaje?...
Au kukiwa na strong winds, wadudu wakivamiwa utawezaje kucontrol hali hiyo?...
Mazao utakayoyapata kwenye hiyo greenhouse kwa mwaka yanazidi yale utakayopata kwenye eka nzima na yatakuwa bora zaid...
Makampuni makubwa ulimwenguni yanatumia greenhouse kwasababu inawasaidia, wewe kama nani unazitolea maneno machafu?...
Jifunze kilimo cha tija na cha kisasa, sio kulima kienyeji...
wasiwasi wangu mkubwa ni iwapo haya mahema yanalipa kiuchumi. kuna hawa watu hujenga magghorofa marefu. ili yawalipe huangalia vitu vifuatavyo. gharama ya ardhi, kama ardhi ni cheap hawajengi kwenda juu bali wanatandaza majengo. pia wanaangalia kama watapata wateja kucover costs zao. ndiyo maana dar kuna maghorofa na katavi hamna. mi naona kujenga hizo green houses bongo ni sawa na kujenga PPF tower katavi. litapendeza ila litakulipa?
hivi hizi green houses zetu unaaweza control hali ya hewa? kwani ukame ukija hauingii kwenye magreen house? strong wind ikija hata green house/hema litabomoka. wadudu labda panzi ndiyo itawazuia lakini siyo magonjwa kama fungus. pia unazuia wadudu unakosa uchavushaji.
hiyo habari ya return kubwa ndiyo mnapolizwa. mita mraba 200 haziwezi kuzidi ekari kwa uzalishaji iwapo mbolea, maji, madawa na huduma vinawiana.. unjenga hema la 8m kwaajili ya kuzuia panzi na nyuki wachavushaji.
Afadhali umetusaidia kutujibia maana wengine hatuna simile tungemjibu utumbo tu