Rugby Union
JF-Expert Member
- Nov 21, 2012
- 402
- 252
Mkuu http Sanctus Mtsimbe, mimi nahitaji ile soundtrack ya kipindi chako. Inahamasisha sana na ni wimbo mzuri, Naupataje?
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu http Sanctus Mtsimbe, mimi nahitaji ile soundtrack ya kipindi chako. Inahamasisha sana na ni wimbo mzuri, Naupataje?
Ahsante bro, nitafanya hivyo siku nikifika mjini kati.Mkuu, ukipita Tancot House, nitawaagiza vijana wetu wa Audio Studio wakupatie.
Karibu sana.
i have to admit ,,,you are a genius fella...bonge moja la idea aiseee.Sikufundishi...na mchango wangu usione nakuharibia dili lakini nikupe reference kidogo...
Kuna bwana mmoja, ngosha alitoka Mwanza kuja mjini kujaribu bahati yake...Akajiingiza kwenye biashara ya kuuza nafaka na bidhaa nyingine za chakula Kariakoo, kwa kuwa hakuwa wa kwanza kwenye biashara hiyo na kwa kutambua kwamba ushindani wa kibiashara ulikuwa mkubwa akaamua kuwaza tofauti na wafanya biashara wakongwe aliowakuta pale...
Kuna mama lishe wengi ambao walikuwa na wateja wengi ila walishindwa kuwakidhi kutokana na mitaji midogo ama kutokuwa nayo kabisa, hivyo jamaa aliamua kila siku kuwapatia mama lishe hao mahitaji yote ya siku, kuanzia unga wa Maandazi/chapati asubuhi hadi mchele na maharage ya jioni...wakapika, wakafanya biashara...
Kesho yake kabla ya kupewa mahitaji mengine ilibidi ulipe kwanza yale ya jana yake (kutokana na hela ya mauzo) kisha ndiyo upewe mapya...guess what! Yule bwana leo ana fedha, na wale mama lishe wanajimudu, hawakopi tena na wameweza hata kusaidia familia zao...
Sasa basi ikiwa unaweza kumjengea mkulima miundo mbinu inayogharimu Mil. 5 ili apande nyanya and likely, ndani ya mwaka aweze ku gain mil 20 kwanini msingewajengea wengi kwa kadiri ya uwezo wenu na kuwaelekeza namna bora ya kilimo ili bbda ya mwaka wauze wakupeni milioni zenu tano nao kubaki na kifuta jasho cha mil 15? Yeye mtaji wake uwe ni eneo na nguvu kazi...ni wazo tu!
Mkuu http Sanctus Mtsimbe, mimi nahitaji ile soundtrack ya kipindi chako. Inahamasisha sana na ni wimbo mzuri, Naupataje?
Ahsante bro, nitafanya hivyo siku nikifika mjini kati.
Swali binafsi, unawezaje kuhimili kufanya kazi na watu ambao hawana maono kama yako, ambao hawaoni mbele kama uonavyo wewe (najua mara kadhaa umeshajikuta katika hali hii ngumu).
Jibu lako ni muhimu sana.
sikufundishi...na mchango wangu usione nakuharibia dili lakini nikupe reference kidogo...
Kuna bwana mmoja, ngosha alitoka mwanza kuja mjini kujaribu bahati yake...akajiingiza kwenye biashara ya kuuza nafaka na bidhaa nyingine za chakula kariakoo, kwa kuwa hakuwa wa kwanza kwenye biashara hiyo na kwa kutambua kwamba ushindani wa kibiashara ulikuwa mkubwa akaamua kuwaza tofauti na wafanya biashara wakongwe aliowakuta pale...
Kuna mama lishe wengi ambao walikuwa na wateja wengi ila walishindwa kuwakidhi kutokana na mitaji midogo ama kutokuwa nayo kabisa, hivyo jamaa aliamua kila siku kuwapatia mama lishe hao mahitaji yote ya siku, kuanzia unga wa maandazi/chapati asubuhi hadi mchele na maharage ya jioni...wakapika, wakafanya biashara...
Kesho yake kabla ya kupewa mahitaji mengine ilibidi ulipe kwanza yale ya jana yake (kutokana na hela ya mauzo) kisha ndiyo upewe mapya...guess what! Yule bwana leo ana fedha, na wale mama lishe wanajimudu, hawakopi tena na wameweza hata kusaidia familia zao...
Sasa basi ikiwa unaweza kumjengea mkulima miundo mbinu inayogharimu mil. 5 ili apande nyanya and likely, ndani ya mwaka aweze ku gain mil 20 kwanini msingewajengea wengi kwa kadiri ya uwezo wenu na kuwaelekeza namna bora ya kilimo ili bbda ya mwaka wauze wakupeni milioni zenu tano nao kubaki na kifuta jasho cha mil 15? Yeye mtaji wake uwe ni eneo na nguvu kazi...ni wazo tu!
kwa nini uwe maskini?
je, ungependa kuvuna nyanya nyingi kila wiki na kujipata kipato kikubwa kupitia kilimo cha green house?
View attachment 165705
team ya "amka na badilika" ya consnet group ikishirikiana na wataalamu wa green house katika maeneo ya joto affordable greenhouse kutoka kenya wanapenda kukujulisha kuwa unaweza kujengewa green house ya ukubwa wa mita 8 kwa mita 15 na kupanda mazao upendayo ya bustani kama nyanya; pilipili hoho; vitunguu; bilinganya; vitunguu; matango nk ambayo yanaweza kukupatia zaidi ya tani zaidi ya 20 kwa mwaka na kukuingizia kipato kikubwa.
Kujengewa green house moja ya 8m x 15 m (kutumia mirunda na mbao za dawa) ni tzs 5.0 millions tu na unajengewa katika kipindi cha wiki 2 pamoja na kupandiwa mazao. Pesa hiyo inahusisha mbegu za kisasa, mbolea, madawa, kupima udongo na maji maabara, tank la lita 1000, drip irrigation system, na mafunzo na kujengewa.
Kwa sasa zipo "kits" za kutosha za green house. Kama utapenda kujengewa green house na bajeti iko tayari, tafadhali wasiliana nasi kupitia namba: +255 755 285 023.
Noted!Well, I welcome you to attend our Seminars. I am sure by the end of this Seminar for Self-Recognition you will have all answers. I can sponsor you!
Wakuu mtu aliyesoma bach of technology in hortculture anaweza ajiriwa wap??
0717269137 wajasiliamali whatsapp group