Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

Nahisi hilo ndio jambo la muhimu
Net house huwa zina tumika sehemu zenye joto na GH huwa zina tumika sehemu zenye baridi.... ndio maana china kwenye joto wana tumia GH na NH... so zina fanya kazi vizuri tu... hao watu wa SUA waende mbali zaidi ktk hili wasiishie tu Mita kazaa toka baharini... wadadavue na waje na suluhu... kama wenzetu walivyo kuja na suluhu, wasikosoe na kuachia hapo hapo
 
Gh inatumika popote ila hizi net house/walking tunnels ni za sehemu zenye joto kama unalima mazao ya mboga ya kuhitaj temp 23 degree, ila kwa nchi zilizoendelea wana mazao yanayovumilia baridi hivyo mtu analima pia kwa net house.
Green house hii inatakiwa iweze kucontrol all elements of weather i.e light, temperature, water/rainfall etc
 
Salama wadau! Nashurukuru kwa wote mliochangia kwenye Uzi Wang kuhusu green house Lakini naomba niseme machache

Kwanza hizi tunazoziita green house sio kwel kuwa ni GH Bali ni high tunnels (nitaeleza tofaut za GH, high tunnels, screen house siku nyingine)

Pili High tunnels zinafaa sehemu yoyote bila shida kabsaa , nasema iv kwa sababu kuna msemo umezoeleka kuwa GH kwa pwani na DSM hazifai , mm nasema sio kweli zinafaa sana, sema kuna makampuni au watengenezaji wanasokosea sana katika kuzitengeneza hizi structure (hakuna kitu kibaya kama copy and paste)
Kuna vitu vingi vya kuzingatia kama aina ya net, aina ya polycover, wind direction, ventilation, gutter height, sunny direction na vingine vingi , kwa hyo ni vzr kumpata mtaalam anaejua ili tusiumize wakulima wetu hasa wastaafu wanaotumia kiinua mgongo kwa ajili ya Kilimo, nimetengeza GH DSM na zinafanya vzr sana
 
Kama upo DSM wasiliana na mm , kuna GH nimetengeneza Zinga(1), mapinga(3), Mbagala (3), Kibaha (1) na nyingine nyingi uje ujionee namna nilivyofanya hizi kazi kitaalamu na wakulima wanafurahia
 
kwa mkoa kama morogoro kuna sehemu joto ni kali sana,greenhouse inatakiwa iwe na urefu gani kutoka ground level mpaka kwenye gutter na kutoka kwenye gutter mpaka kwenye paa?
 
kaka kama ukiweka net kwenye side Walls kwa 100% inaweza kua sawa yani cover ya nylon ikawa juu tu kwenye paa,hapo ninaweza kupunguza joto kali na mimea ika survive?
 
vitunguu havikubali kwenye greenhouse?
hata mchicha unakubali!

faida ya vitunguu kwa eneo la ujazo la greenhouse dhidi ya gharama ya ujenzi ni ndogo kuweza kupata faida endelevu.
 
kaka kama ukiweka net kwenye side Walls kwa 100% inaweza kua sawa yani cover ya nylon ikawa juu tu kwenye paa,hapo ninaweza kupunguza joto kali na mimea ika survive?
Hakuna net (insect net ya 100%), nikueleze kuwa wanaposema net ina% fulani wanaanisha nn? Mfano insects net maeneo ya pwani tumia ile yenye 55% means it can block incoming (dust, pest, etc) by 55% and allow 45% to pass also Clarence for wind and air circulation is vital important so tumia net hyo then weka polycover juu yenye 200micron itakuwa poa Sana , chek wind direction (GH iwe parallel) , weka side vent, pia gutter height iwe 3m+ , kila la Kheri , ukihitaji materials nichek
 
kwa mkoa kama morogoro kuna sehemu joto ni kali sana,greenhouse inatakiwa iwe na urefu gani kutoka ground level mpaka kwenye gutter na kutoka kwenye gutter mpaka kwenye paa?
Morogoro sehem gani? Weka height ya 3m+ with vent kwa juu, but king post iwe 2.5m from gutter height, it depends kama paa lako ni slant roof or doomed roof
 
eneo la robo ekari linatosha kwa kulima kwa drip na kupata kipato kizuri kama nitalima nyanya?
 
net house inaweza zuia mvua isiingie ndani ya shamba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…