Gharama hitofautiana kulingana na ukubwa wa green house.
Changamoto ni uchavushaji/pollinatio unatakiwa kufanya mwenyewe kutegemea mazao utakayopanda
Kujua utapanda mara ngapi kwa mwaka itategemea zao ulilopanda linachukua muda gani kupanda had kuvuna.
Utunzaji wa mazingira, hakuna madhara yoyote kimazingira yanayosababishwa na Greenhouse ila naweza kusema greenhouse ni environmental friendly coz hakutakua na matumizi ya chemicals( organic)
Mazao ambayo unaweza kupanda
Nyanya, chines, hoho, kitunguu, bilinganya, n.k