Kwani yeye kasema tangazo ?Ndio umetumwa uje utangaze hivyo???mteja atakuamini vipi?hakuna jina la mtengenezaji,contact hata kapicha????Nikilinganisha na Wakenya wanavyotangaza bidhaa zao kweli Tanzania safari tuliyonayo bado ni ndefu saana
Hilo ni wazo lake binafsi kwa ujumla.
Conact na picha ndivyo mlivyozoea kudanganywa.content zake zinatosha.
Unaonaje ukilinganisha ndoa yako na wakenya alafu ulete marejesho