pascal jumanne
Member
- Dec 8, 2016
- 21
- 15
Jamani green house ni nini na inafanyakazi gani kwenye kilimo???, maana mm najua ile greenhouse ya niliyoisoma kwenye some la chemistry olevel
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko serious kweli ,kitunguu kwenye gh !!!Panda nyanya kaka au vitunguu, daah mm mkulima nipo moro naona unautajiri huo mkuu utumie vizuri
Fanya hivi usiingie kichwa kichwa kwanza tafuta soko kisha soko litakueleza ulime nini ,waone mashirika ya masoko kama TAHA watakueleza wananunua nini miezi ipi kisha ulime hayo uuze kwao ,kamwe usitegemee soko la mtaani kwa kuuzia mazao yako ya gh sababu product zake ni quality ya juu na kuna mazao unaweza yalima ambayo nnje hayawahi mazur kama ndani ya gh ,mazao ni kama vile tango (mydas pekee ndio ya gh),nyanya (indeterminate pekee),hoho (za rangi),cherry tomatoes etc ,pata mtaalam kama uelew unafanya nini ,karibu kwa ushauri anytime niko Arusha ningekua Mwanza ningekusaidia zaidi,karibu kwenye kilimoBado najifunza Kilimo,ninazo green house kubwa 7 ambazo nimepewa niinvest baada ya kuonyesha interest kwenye Kilimo.Zote zina system ya drip irrigation, Maji ya kutosha na full equiped.Zipo Mwanza.
Je nilime nini, na Kama mwanafunzi na mgeni katika mambo ya kilimo hakitanigharimu Sana.Na nitapata soko kiurahisi,nataka nianze next month.
Ntashukuru kwa mawazo.
Vp mkuu umekariri nyanya tu?Uko serious kweli ,kitunguu kwenye gh !!!
Haaa haaa hiyo ni taaluma yangu ndugu huwezi jenga gh kwa milioni tisa kisha ukaweka kitunguu hata ukipata gunia 10 bado ni hasara kubwa maana hapo umeihudumia bado pia unagharama za gh za kurudisha,nakupa darasa gh ni kwa mazao ya kuvunwa kwa muda mrefu pekee mbali na hapo jenga shade net tu lima zao utakaloVp mkuu umekariri nyanya tu?
Katika green House unaweza kupanda zao lolote ina mara nyingi hupandwa mazao yanayokwenda juu na siyo yanayotambaa ama mazao ya bulbs hii ni kwa sababu kuweza kutumia soace ndogo kuzalisha zaidi.Bado najifunza Kilimo,ninazo green house kubwa 7 ambazo nimepewa niinvest baada ya kuonyesha interest kwenye Kilimo.Zote zina system ya drip irrigation, Maji ya kutosha na full equiped.Zipo Mwanza.
Je nilime nini, na Kama mwanafunzi na mgeni katika mambo ya kilimo hakitanigharimu Sana.Na nitapata soko kiurahisi,nataka nianze next month.
Ntashukuru kwa mawazo.
Hata mm nipo kwenye kilimo na nina uzoefu nacho kidogoHaaa haaa hiyo ni taaluma yangu ndugu huwezi jenga gh kwa milioni tisa kisha ukaweka kitunguu hata ukipata gunia 10 bado ni hasara kubwa maana hapo umeihudumia bado pia unagharama za gh za kurudisha,nakupa darasa gh ni kwa mazao ya kuvunwa kwa muda mrefu pekee mbali na hapo jenga shade net tu lima zao utakalo
Kitunguu hata gunia uuze laki 5 hakitomlipa kwenye gh ndugu ,kiuhalisia eneo la sqm 120 unapata gunia moja tu ukijitahidi mawili hapo ukitoa gharama za management anabaki na zero ,gh lina mazao yake kama hayataki basi asiombe ushaur mbali na hapo atakua anali missuse gh ,au kama anaweza masoko ya nnje basi alime mauaHata mm nipo kwenye kilimo na nina uzoefu nacho kidogo
Nia sio kubishana na mwanzo nilimshauri alime nyanya ila jamaa kasema ana greenhouse 7 ndomana nikasema vitunguu ili abadilishe mazao maana huwezi kujua zao lipi utalokutana na hela
Bado najifunza Kilimo,ninazo green house kubwa 7 ambazo nimepewa niinvest baada ya kuonyesha interest kwenye Kilimo.Zote zina system ya drip irrigation, Maji ya kutosha na full equiped.Zipo Mwanza.
Je nilime nini, na Kama mwanafunzi na mgeni katika mambo ya kilimo hakitanigharimu Sana.Na nitapata soko kiurahisi,nataka nianze next month.
Ntashukuru kwa mawazo.
Aina ipi ya kilimo? Cha greenhouse au?any updates/ itakuwa vyema ukishare picha hapa ninatamani pia kuingia kwenye aina hii ya kilimo
ndio mkuuAina ipi ya kilimo? Cha greenhouse au?
Ok.. hicho mm sina utaalamu nachondio mkuu