Nadiliki kusema wewe ni Tapeli ,ulikuja hapa na uzi wako wa kuuza mashine za kutengeneza mkaa,ukarudi na uzi wa kuuza kitabu cha jinsi ta kutengeneza mkaa ,ulipoulizwa maswali ya msingi ukawa unalazimisha watu wanunue kitabu chako.Leo tena unajifanya mjasiriamali wa Greenhouse halafu ukiulizwa maswali ya msingi unaleta majibu ya juuri.
Katika nchi hii kla mtu yuko huru kununua au kufanya chochote anachotaka, halazimishwi mtu. Atakayetaka kununua kitabu changu, anakaribishwa. Anayependa vya bure, sawa. Ikumbukwe vya bure huja na strings attached.
eBook ?u google halafu useme ni kitabu chako,hiki kilimo ni taaluma siyo blabla ,umeulizwa shamba darasa lako lipo wapi tukutembelee kimya.
Hilo ndio tatizo lenu watanzania jamani. Hamuwezi fanya kitu mpaka mtafuniwe! Wewe kama umeshapewa elimu kwa nini usiende ifanyia kazi? Unataka utafuniwe cha nini?
Ni kama mtu unaona mwenzako kafungua duka pembeni yako nawe unataka ufungue duka la namna hiyo hiyo. Unadhani hiyo ni nini? Ndo kutafuniwa huko maana ushaona mwenzako kafanyaje nawe unaenda kufanya the same. Uoni hiyo ni kuuzembesha ubongo wako? Inawezekana yeye shamba lake liko sehemu yenye udongo na hali ya hewa tofauti na yako, sasa unataka akutafunie ili nawe ufanye kama yeye alivyofanya wakati mazingira yenu yako tofauti. Huoni hapo ndo matatizo yenyewe yanapoanzia?
Mkiielezwa ukweli mnaona watu wanawaonea. Wewe kama unaona nini si u google?
eBook ?u google halafu useme ni kitabu chako,hiki kilimo ni taaluma siyo blabla ,umeulizwa shamba darasa lako lipo wapi tukutembelee kimya.
Naona nyie wawili lenu moja. Mnaweka maslahi yenu mbele kuliko kuwasaidia wananchi wa kawaida wanaojaribu kuinua maisha yao kwa kilimo ambacho ndio uti wa mgongo wa maisha yao. Angalau huyu mdau Biashara2000 amejaribu kusema yeye anaweza shauri ni jinsi gani unaweza anza na sh. 500,000 ambayo ni mara tano chini ya kiwango chenu. Msiweke matumbo yenu mbele jamani.
umeongea vyema ila nilichogundua kilimo hiki hukielewi kabisa utaishia kutoa mifano ambayo haiendani ,kilimo hiki kinahitaji utaalamu na uzoefu pia siyo swala la kugoogle .
we mtu green house ya laki tano ndio unaipigia debe? Yaani green house ya 2.5m ni gharama? Hyo 500,000 itatosha kununua simtank tu la kuhifadh maji
Ndo maana smart2014 akakushauri badala ya kushambulia watu, kwanini nawe usijaribu kujifunza badala ya kushambulia wenzako. Na kumbe unakubaliana kuwa ku google hakufai na hakutoshi? Sasa kama unakubaliana na Biashara2000 kwanini sasa unamshambulia?????
Ukisoma uzi huu https://www.jamiiforums.com/ujasiriamali/608513-jenga-greenhouse-kwa-gharama-nafuu.html huna sababu ya kuuziwa material yoyote.
NB: Uliyemuona TBC1 ndiye mimi. Uko huru kuuliza chochote bure.
Katika uzi huo, minimum capital anayohitajika kuwa nayo mtu ni sh mil. 2.5. Nani katika nchi hii mwananchi wa kawaida anaweza kuwa na sh. mil. 2.5? Au na wewe ni capuitalist unavutia biashara kwako? Wale walee
usitetee usichokijua huyu hana shamba na hajawahi kufanya kilimo hicho na hicho kitabu kagoogle tu,na kama unahisi anashamba aseme lipo wapi tumtafute ili kabla hatujaanza hiyo project tupate uzoefu kwake,kumbuka kuna watu wametumia pesa nyingi kwenye project za Greenhouse wameshindwa kisa utalaamu.
Lakini jamaa kasema anakaribisha maswali au dukuduku lolote, nafikiri ingekua bora tukawa wavumulivu na kuuliza kistaarabu ili kupata maelezo ya kina na uelewa kisha kila mmoja akafanya maamuzi yake.
Sina utaalam sana wa haya mambo lakini kianzio cha 500,000/= naona kama kinakua kidigo sana, lakini Biashara2000 anashindwa hata kukushawishi mtu kwa maelezo machache tu. 15,000 sio tatizo ukiweza kunifahamisha ntakuamini na kuona umuhimu wa kutafuta hicho kitabu.
Ikumbukwe lengo hapa ni kupata habari na uelewa suala la kuamua kuwekeza ni hatua nyingine.
Mi nadhani watanzania sasa tujaribuni nasi kujifikirisha. Tusipende kumezeshwa vitu. Kama wewe ushatembelea greenhouse ya mtu ukakuta anatumia simtank au anatumia mabomba ya chumba kujengea greenhouse yake, usitoke pale umekufa moyo eti ooh mimi sitaweza hichi kilimo kwa kuwa ni expensive. Kinahitaji vifaa expensive.
Jaribu kujifikirisha. Je itakuwa vipi kama nikitumia mapipa badala ya simtank. Je vipi nikitumia fito za miti migumu kujengea nguzo za greenhouse badala ya mabomba ya chuma. Wengine wanajenga kauzio ka urefu wa sentimeta kadhaa kwa matofali ili kuzuia wadudu kama nge nk wasiingie kwenye greenhouse na kudhuru mtu, wengine badala ya kujenga ka uzio hako, anapanga tu mawe makubwa. Na kadhalika. Kwa hapo tu huoni kuwa umekata gharama tayari karibu asilimia 50? Na kadhalika.
Jamani tusikate tamaa kwa kuwa tu aliyetuonesha shamba lake la mfano katuambia hatuwezi anza mradi mpaka tuwe na mil. 2.5. Yeye anafanya hivyo ili ukampe hiyo mil. 2.5 yeye atumie mil 1 kukutengenezea greenhouse halafu mil 1.5 anaenda kula na familia yake samaki samaki.
Wtatz jamani tujiamini na tusi judge wengine.