Biashara2000
JF-Expert Member
- Nov 9, 2013
- 649
- 547
Naona nyie wawili lenu moja. Mnaweka maslahi yenu mbele kuliko kuwasaidia wananchi wa kawaida wanaojaribu kuinua maisha yao kwa kilimo ambacho ndio uti wa mgongo wa maisha yao. Angalau huyu mdau Biashara2000 amejaribu kusema yeye anaweza shauri ni jinsi gani unaweza anza na sh. 500,000 ambayo ni mara tano chini ya kiwango chenu. Msiweke matumbo yenu mbele jamani.
Habari zenu
Kutokana na umuhimu wa kilimo katika nchi yetu nimeamua name nitoe mchango wangu kama mdau. Watanzania takriban asilimia 80 wameajiriwa au kujiajiri katika sekta ya kilimo yet bado wameanguka katika lindi la umaskini wakati ardhi ya kutosha na yenye rutuba tunayo.
Vijana wengi wamekuwa wakikimbilia mijini kutafuta kazi za kuajiriwa na mwisho wa siku kazi zenyewe hazipatikani wanaishia kuzurura tu mitaani. Wachache wameamua kufanya kilimo kidogo kidogo huku mijini kama vile vibustani na kadhalika, ingawa havina tija.
Watu ambao wamefanikiwa katika kilimo wenye mashamba makubwa wako vijijini ila waliofanikiwa katika kilimo ambao wako mijini wamefanikiwa katika mashamba madogo. Mashamba haya yanaitwa GREENHOUSE. Kilimo cha greenhouse kimewatoa watu wengi mmoja wao akiwemo mwanasiasa maarufu na jamaa mmoja nilimuona kwenye kipindi cha amka na badilika cha TBC1 akielezea kilimo chake, Mimi pia nina mjomba wabgu yuko kibaha amefanikiwa katika kilimo hiki.
Mimi kutokana na uzoefu wa mjomba wangu, nimeamua kutoa mafunzo haya ya kilimo bora cha kisasa cha greenhouse kwa ghara,a y ash. 15,000/- tu. Mafunzo haya nimeyaandaa katika kitabu (ebook) softcopy ambayo utaipata kwa kunipigia simu 0758 308193.
Katika kitabu hiki utajifunza yafuatayo:
- Jinsi ya kutumia eneo lako la hatua kadhaa na kuzalisha mazao yenye uwezo wa kukuingizia Zaidi y ash 600,000/- kwa mwezi
- Kupata gharama za kuanzisha mradi huu. Na gharama yake ni chini y ash. 500,000/- ingawa kwa kutumia ujanja Fulani unaweza anza hata kw ash. 250,000/-
- Si lazima uwe na eneo kubwa kuanza mradi huu, hata kama una hatua 5x8, unaanza.
Faida chache za greenhouse:
Karibuni sana tuelimike.
- Haihitaji gharama kubwa
- Si kilimo cha msimu, utaweza kuvuna mwaka mzima
- Mazao yako hayaliwi na wadudu wala magonjwa
- Unapata mazao mara 10 ya anayelima kwenye shamba la kawaida
- Na kadhalika
"Milioni tano tu" ni ndogo kimatamshi ila kwa watanzania wa kawaida ambao ndio wengi hii ni ndoto....
hebu niwaambie washikaji zangu wa vijijini huko hapa daslam ni hapa nyumba mbele jalala...nitalima wapi!!!
Tank la maji,kisima inclusive ya hiyo price?
Tank la maji la lita 1000 ni inclusive na unaweza kumwagilia kwa siku mbili kabla ya kujaza maji tena. Kisima siyo exclusive. Ni jukumu la mhusika kuhakikisha maji yapo.
Ni kweli lakini kama kwa mwaka utavuna tani 20 worst cvase scenario hizo na sawa na zaidi ya TZS Million 20 (kwa bei ya kutupa ya TZS 1000 kwa kilo ya nyanya). Running cost ni kidogo sana.
Mkuu mimi nimevutiwa na hii kitu, niko Arusha, inawezekana?
Sikufundishi...na mchango wangu usione nakuharibia dili lakini nikupe reference kidogo...
Kuna bwana mmoja, ngosha alitoka Mwanza kuja mjini kujaribu bahati yake...Akajiingiza kwenye biashara ya kuuza nafaka na bidhaa nyingine za chakula Kariakoo, kwa kuwa hakuwa wa kwanza kwenye biashara hiyo na kwa kutambua kwamba ushindani wa kibiashara ulikuwa mkubwa akaamua kuwaza tofauti na wafanya biashara wakongwe aliowakuta pale...
Kuna mama lishe wengi ambao walikuwa na wateja wengi ila walishindwa kuwakidhi kutokana na mitaji midogo ama kutokuwa nayo kabisa, hivyo jamaa aliamua kila siku kuwapatia mama lishe hao mahitaji yote ya siku, kuanzia unga wa Maandazi/chapati asubuhi hadi mchele na maharage ya jioni...wakapika, wakafanya biashara...
Kesho yake kabla ya kupewa mahitaji mengine ilibidi ulipe kwanza yale ya jana yake (kutokana na hela ya mauzo) kisha ndiyo upewe mapya...guess what! Yule bwana leo ana fedha, na wale mama lishe wanajimudu, hawakopi tena na wameweza hata kusaidia familia zao...
Sasa basi ikiwa unaweza kumjengea mkulima miundo mbinu inayogharimu Mil. 5 ili apande nyanya and likely, ndani ya mwaka aweze ku gain mil 20 kwanini msingewajengea wengi kwa kadiri ya uwezo wenu na kuwaelekeza namna bora ya kilimo ili bbda ya mwaka wauze wakupeni milioni zenu tano nao kubaki na kifuta jasho cha mil 15? Yeye mtaji wake uwe ni eneo na nguvu kazi...ni wazo tu!