Mafunzo ya kilimo cha kisasa cha greenhouse

OFA MAALUM KWA WAJASIRIAMALI: Ukinunua kitabu hiki cha jinsi ya kufanya kilimo cha greenhouse utapata kitabu cha siri kuu 4 za ujasiriamali bure kama ofa. Ofa hii itaisha tarehe 30.06
 
Naona nyie wawili lenu moja. Mnaweka maslahi yenu mbele kuliko kuwasaidia wananchi wa kawaida wanaojaribu kuinua maisha yao kwa kilimo ambacho ndio uti wa mgongo wa maisha yao. Angalau huyu mdau Biashara2000 amejaribu kusema yeye anaweza shauri ni jinsi gani unaweza anza na sh. 500,000 ambayo ni mara tano chini ya kiwango chenu. Msiweke matumbo yenu mbele jamani.

Mimi nadhani hoja hapa ni kuwa na huyu wa huo mchanganuo wa Tshs. 500,000/- .bwana Biashara2000 naye atuonyeshe breakdown yake kama alivyofanya Greenhouse, tena kwa undani sana na akajibu maswali tata mpaka wana JF tukamkubali. Pia alionyesha kwa vitendo hiyo greenhouse na wanaJF fulani fulani wakamtembelea na kuona kwa vitendo. Biashara2000 na wewe fanya hivyo kwani hutapoteza chochote bali utaishia kupata heshima na kukubaliwa humu JF na itafungua njia ya kununuliwa hicho kitabu chako.
Asanteni sana.
 
Habari zenu

Kutokana na umuhimu wa kilimo katika nchi yetu nimeamua name nitoe mchango wangu kama mdau. Watanzania takriban asilimia 80 wameajiriwa au kujiajiri katika sekta ya kilimo yet bado wameanguka katika lindi la umaskini wakati ardhi ya kutosha na yenye rutuba tunayo.

Vijana wengi wamekuwa wakikimbilia mijini kutafuta kazi za kuajiriwa na mwisho wa siku kazi zenyewe hazipatikani wanaishia kuzurura tu mitaani. Wachache wameamua kufanya kilimo kidogo kidogo huku mijini kama vile vibustani na kadhalika, ingawa havina tija.

Watu ambao wamefanikiwa katika kilimo wenye mashamba makubwa wako vijijini ila waliofanikiwa katika kilimo ambao wako mijini wamefanikiwa katika mashamba madogo. Mashamba haya yanaitwa GREENHOUSE. Kilimo cha greenhouse kimewatoa watu wengi mmoja wao akiwemo mwanasiasa maarufu na jamaa mmoja nilimuona kwenye kipindi cha amka na badilika cha TBC1 akielezea kilimo chake, Mimi pia nina mjomba wabgu yuko kibaha amefanikiwa katika kilimo hiki.

Mimi kutokana na uzoefu wa mjomba wangu, nimeamua kutoa mafunzo haya ya kilimo bora cha kisasa cha greenhouse kwa ghara,a y ash. 15,000/- tu. Mafunzo haya nimeyaandaa katika kitabu (ebook) softcopy ambayo utaipata kwa kunipigia simu 0758 308193.

Katika kitabu hiki utajifunza yafuatayo:

  1. Jinsi ya kutumia eneo lako la hatua kadhaa na kuzalisha mazao yenye uwezo wa kukuingizia Zaidi y ash 600,000/- kwa mwezi
  2. Kupata gharama za kuanzisha mradi huu. Na gharama yake ni chini y ash. 500,000/- ingawa kwa kutumia ujanja Fulani unaweza anza hata kw ash. 250,000/-
  3. Si lazima uwe na eneo kubwa kuanza mradi huu, hata kama una hatua 5x8, unaanza.

Faida chache za greenhouse:

  1. Haihitaji gharama kubwa
  2. Si kilimo cha msimu, utaweza kuvuna mwaka mzima
  3. Mazao yako hayaliwi na wadudu wala magonjwa
  4. Unapata mazao mara 10 ya anayelima kwenye shamba la kawaida
  5. Na kadhalika
Karibuni sana tuelimike.

Ok,
Inawezekana kua kwa kusema kitabu chako kinaongelea jinsi ya kuanzisha greenhouse kwa laki 5 ni mbinu tu ya kuuza kitabu?

Ili ku-justify kwamba it is possible, waweza kutoa hata picha tu ya hiyo greenhouse ya laki 5??

Abdulatif alituambia ni Tshs 2.5Mil na aliweka picha, maelezo, tukamuona kwa TV akielezea, mwishowe tukamtembelea Mwikwambe Kigamboni kujionea "Live"!!

Lakini Mkuu ukituuzia tu kitabu bila maelezo na mafunzo ya ziada, wengi wetu tutashindwa!! Ni sawa na mwanafunzi umpe tu kitabu akajisomee aje apige pepa, no lecture, no discussion, no whatever!!
 
KWA NINI UWE MASKINI?

JE, UNGEPENDA KUVUNA NYANYA NYINGI KILA WIKI NA KUJIPATA KIPATO KIKUBWA KUPITIA KILIMO CHA GREEN HOUSE?

Nyanya in Green House.jpg

Team ya "AMKA NA BADILIKA" ya CONSNET GROUP ikishirikiana na wataalamu wa GREEN HOUSE katika maeneo ya joto AFFORDABLE GREENHOUSE kutoka Kenya wanapenda kukujulisha kuwa unaweza kujengewa GREEN HOUSE ya ukubwa wa Mita 8 kwa Mita 15 na kupanda mazao upendayo ya bustani kama Nyanya; Pilipili Hoho; Vitunguu; Bilinganya; Vitunguu; Matango nk ambayo yanaweza kukupatia zaidi ya tani zaidi ya 20 kwa Mwaka na kukuingizia kipato kikubwa.

Kujengewa GREEN HOUSE moja ya 8M X 15 M (Kutumia mirunda na mbao za dawa) ni TZS 5.0 Millions Tu na unajengewa katika kipindi cha wiki 2 pamoja na kupandiwa mazao. Pesa hiyo inahusisha mbegu za kisasa, mbolea, madawa, kupima udongo na maji maabara, tank la lita 1000, drip irrigation system, na mafunzo na kujengewa.

Kwa sasa zipo "KITS" za kutosha za Green House. Kama utapenda kujengewa Green House na bajeti iko tayari, tafadhali wasiliana nasi kupitia namba: +255 755 285 023.
 
hebu niwaambie washikaji zangu wa vijijini huko hapa daslam ni hapa nyumba mbele jalala...nitalima wapi!!!
 
Ni kweli lakini kama kwa mwaka utavuna tani 20 worst cvase scenario hizo na sawa na zaidi ya TZS Million 20 (kwa bei ya kutupa ya TZS 1000 kwa kilo ya nyanya). Running cost ni kidogo sana.

Sikufundishi...na mchango wangu usione nakuharibia dili lakini nikupe reference kidogo...

Kuna bwana mmoja, ngosha alitoka Mwanza kuja mjini kujaribu bahati yake...Akajiingiza kwenye biashara ya kuuza nafaka na bidhaa nyingine za chakula Kariakoo, kwa kuwa hakuwa wa kwanza kwenye biashara hiyo na kwa kutambua kwamba ushindani wa kibiashara ulikuwa mkubwa akaamua kuwaza tofauti na wafanya biashara wakongwe aliowakuta pale...

Kuna mama lishe wengi ambao walikuwa na wateja wengi ila walishindwa kuwakidhi kutokana na mitaji midogo ama kutokuwa nayo kabisa, hivyo jamaa aliamua kila siku kuwapatia mama lishe hao mahitaji yote ya siku, kuanzia unga wa Maandazi/chapati asubuhi hadi mchele na maharage ya jioni...wakapika, wakafanya biashara...

Kesho yake kabla ya kupewa mahitaji mengine ilibidi ulipe kwanza yale ya jana yake (kutokana na hela ya mauzo) kisha ndiyo upewe mapya...guess what! Yule bwana leo ana fedha, na wale mama lishe wanajimudu, hawakopi tena na wameweza hata kusaidia familia zao...

Sasa basi ikiwa unaweza kumjengea mkulima miundo mbinu inayogharimu Mil. 5 ili apande nyanya and likely, ndani ya mwaka aweze ku gain mil 20 kwanini msingewajengea wengi kwa kadiri ya uwezo wenu na kuwaelekeza namna bora ya kilimo ili bbda ya mwaka wauze wakupeni milioni zenu tano nao kubaki na kifuta jasho cha mil 15? Yeye mtaji wake uwe ni eneo na nguvu kazi...ni wazo tu!
 
Asante Mkuu,

The law of attraction . . . lol

Kuna Models tofauti tume design:

1. Lipa 5M unajengewa
2. Huna ardhi kodi ardhi kwa mwaka moja kwa laki 5- hadi million unajengewa GH kwa million 5
3. Toa 10M unauziwa GH iliyo tayari na mazao na unaimiliki
4. Kuna Model ya kununua mazao toka kwa walimaji wadogo na kuuza nk nk

Wazo lako ni zuri, tutalifanyia kazi. Thanks.
 
Sikufundishi...na mchango wangu usione nakuharibia dili lakini nikupe reference kidogo...

Kuna bwana mmoja, ngosha alitoka Mwanza kuja mjini kujaribu bahati yake...Akajiingiza kwenye biashara ya kuuza nafaka na bidhaa nyingine za chakula Kariakoo, kwa kuwa hakuwa wa kwanza kwenye biashara hiyo na kwa kutambua kwamba ushindani wa kibiashara ulikuwa mkubwa akaamua kuwaza tofauti na wafanya biashara wakongwe aliowakuta pale...

Kuna mama lishe wengi ambao walikuwa na wateja wengi ila walishindwa kuwakidhi kutokana na mitaji midogo ama kutokuwa nayo kabisa, hivyo jamaa aliamua kila siku kuwapatia mama lishe hao mahitaji yote ya siku, kuanzia unga wa Maandazi/chapati asubuhi hadi mchele na maharage ya jioni...wakapika, wakafanya biashara...

Kesho yake kabla ya kupewa mahitaji mengine ilibidi ulipe kwanza yale ya jana yake (kutokana na hela ya mauzo) kisha ndiyo upewe mapya...guess what! Yule bwana leo ana fedha, na wale mama lishe wanajimudu, hawakopi tena na wameweza hata kusaidia familia zao...

Sasa basi ikiwa unaweza kumjengea mkulima miundo mbinu inayogharimu Mil. 5 ili apande nyanya and likely, ndani ya mwaka aweze ku gain mil 20 kwanini msingewajengea wengi kwa kadiri ya uwezo wenu na kuwaelekeza namna bora ya kilimo ili bbda ya mwaka wauze wakupeni milioni zenu tano nao kubaki na kifuta jasho cha mil 15? Yeye mtaji wake uwe ni eneo na nguvu kazi...ni wazo tu!

Point nzuri

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
garama za ku endesha kilimo cha nyanya ni kiasi gani kwa mwaka mzima ndani ya hiyo green house? soko la nyanya je? msiku wa kupanda na kuvuna je? maana kwa sasa tenga la nyanya iringa ni elfu 3. na huwezi uza bila dalali. kwanini msinikopeahe na nilipe taratibu wakati wa mavuno if tje project is worth?
 
Point nzuri, ila watawatambujaje wale wataokuwa tayari kulipa hizo 5m baada ya kuvuna?

Halafu, kila mwaka inabidi ujengewe mpya? Au ukishajenga ndio nitolee?

Sikufundishi...na mchango wangu usione nakuharibia dili lakini nikupe reference kidogo...

Kuna bwana mmoja, ngosha alitoka Mwanza kuja mjini kujaribu bahati yake...Akajiingiza kwenye biashara ya kuuza nafaka na bidhaa nyingine za chakula Kariakoo, kwa kuwa hakuwa wa kwanza kwenye biashara hiyo na kwa kutambua kwamba ushindani wa kibiashara ulikuwa mkubwa akaamua kuwaza tofauti na wafanya biashara wakongwe aliowakuta pale...

Kuna mama lishe wengi ambao walikuwa na wateja wengi ila walishindwa kuwakidhi kutokana na mitaji midogo ama kutokuwa nayo kabisa, hivyo jamaa aliamua kila siku kuwapatia mama lishe hao mahitaji yote ya siku, kuanzia unga wa Maandazi/chapati asubuhi hadi mchele na maharage ya jioni...wakapika, wakafanya biashara...

Kesho yake kabla ya kupewa mahitaji mengine ilibidi ulipe kwanza yale ya jana yake (kutokana na hela ya mauzo) kisha ndiyo upewe mapya...guess what! Yule bwana leo ana fedha, na wale mama lishe wanajimudu, hawakopi tena na wameweza hata kusaidia familia zao...

Sasa basi ikiwa unaweza kumjengea mkulima miundo mbinu inayogharimu Mil. 5 ili apande nyanya and likely, ndani ya mwaka aweze ku gain mil 20 kwanini msingewajengea wengi kwa kadiri ya uwezo wenu na kuwaelekeza namna bora ya kilimo ili bbda ya mwaka wauze wakupeni milioni zenu tano nao kubaki na kifuta jasho cha mil 15? Yeye mtaji wake uwe ni eneo na nguvu kazi...ni wazo tu!
 
Biashara inayoingiza 20m kwa mwaka ni biashara kichaa.(5m capital,running cost kwa mwaka 4m faida 11m)
 
What a MEGA SMART analytical mind!!! Mkuu Kichwa chako kinachemka kweli kweli, unapaswa kuitwa HORSESHOE MAGNET. Wazo la Msimbe ni zuri, lakini kama anataka kusaidia walala hoi kweli basi ni vyema afuate ushauri wa paragraph ya mwisho wa ndugu HORSESHOE ARC.
 
Back
Top Bottom