Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,753
Biashara inayoingiza 20m kwa mwaka ni biashara kichaa.(5m capital,running cost kwa mwaka 4m faida 11m)
Point nzuri, ila watawatambujaje wale wataokuwa tayari kulipa hizo 5m baada ya kuvuna?
Halafu, kila mwaka inabidi ujengewe mpya? Au ukishajenga ndio nitolee?
garama za ku endesha kilimo cha nyanya ni kiasi gani kwa mwaka mzima ndani ya hiyo green house? soko la nyanya je? msiku wa kupanda na kuvuna je? maana kwa sasa tenga la nyanya iringa ni elfu 3. na huwezi uza bila dalali. kwanini msinikopeahe na nilipe taratibu wakati wa mavuno if tje project is worth?
Point nzuri, ila watawatambujaje wale wataokuwa tayari kulipa hizo 5m baada ya kuvuna?
Halafu, kila mwaka inabidi ujengewe mpya? Au ukishajenga ndio nitolee?
Hii aidia inashawishi, mtatufanya tukose hata pa kuweka miguu majumbani kwetu.
Biashara inayoingiza 20m kwa mwaka ni biashara kichaa.(5m capital,running cost kwa mwaka 4m faida 11m)
What a MEGA SMART analytical mind!!! Mkuu Kichwa chako kinachemka kweli kweli, unapaswa kuitwa HORSESHOE MAGNET. Wazo la Msimbe ni zuri, lakini kama anataka kusaidia walala hoi kweli basi ni vyema afuate ushauri wa paragraph ya mwisho wa ndugu HORSESHOE ARC.
Mkuu zamani kwenye elimu zinye displine ya uchumi na masuala ya fedha walengwa wakubwa walikuwa ni matajiri wakubwa na wenye mitaji mikubwa, ila taasisi za kifedha zilipokuja kuanza kuwaamini wajasiriamali wadogo wadogo ndipo walileta micro finance ambayo inahudumia wateja wadogo wadogo walio wengi kuliko matajiri wakubwa ambao kimsingi ni wachache...and you kno what! Mjasiriamali ana displine kubwa sana ya fedha kuliko tajiri kwa kuwa hana namna nyingine ya kutoka kimaisha isipokuwa kabiashara kake ambako kamesimama kwa hisani ya mkopo!
Kuna watu wengi sana ambao hawana ujuzi wowote,na ambao nina hakika kama wakipata fursa ya kuelekezwa wazo kama hili na kama ikiwezekana wakaona kwa mfano hai kesho wangekuwa walishaji wa Taifa....
Ikiwa moja ya majukumu ya maafisa mikopo kwenye taasisi za fedha ni kumfundisha mjasiriamali namna ya kutumia vizuri mkopo ili aweze kufaidika na kurudisha mkopo inashindikanaje kuaply hii kitu kwa wakulima kupewa visual darasa na shamba darasa na baadaye somo likiisha waingia mhisani nae akatafuta masoko?
Too GOOD too be true! Lakini wabongo walivyo mambulula mtakamata wengi!
nataka kujua hata mtu akiwa kijijini ndani kiasi gani bei ni hiyohiyo 5millioni?
maana mimi natoka mbinga litui huko ndani kabisa so bei ni hiyo moja ama?
majibu tafadhali
Mkuu zamani kwenye elimu zinye displine ya uchumi na masuala ya fedha walengwa wakubwa walikuwa ni matajiri wakubwa na wenye mitaji mikubwa, ila taasisi za kifedha zilipokuja kuanza kuwaamini wajasiriamali wadogo wadogo ndipo walileta micro finance ambayo inahudumia wateja wadogo wadogo walio wengi kuliko matajiri wakubwa ambao kimsingi ni wachache...and you kno what! Mjasiriamali ana displine kubwa sana ya fedha kuliko tajiri kwa kuwa hana namna nyingine ya kutoka kimaisha isipokuwa kabiashara kake ambako kamesimama kwa hisani ya mkopo!
Kuna watu wengi sana ambao hawana ujuzi wowote,na ambao nina hakika kama wakipata fursa ya kuelekezwa wazo kama hili na kama ikiwezekana wakaona kwa mfano hai kesho wangekuwa walishaji wa Taifa....
Ikiwa moja ya majukumu ya maafisa mikopo kwenye taasisi za fedha ni kumfundisha mjasiriamali namna ya kutumia vizuri mkopo ili aweze kufaidika na kurudisha mkopo inashindikanaje kuaply hii kitu kwa wakulima kupewa visual darasa na shamba darasa na baadaye somo likiisha waingia mhisani nae akatafuta masoko?
What a MEGA SMART analytical mind!!! Mkuu Kichwa chako kinachemka kweli kweli, unapaswa kuitwa HORSESHOE MAGNET. Wazo la Msimbe ni zuri, lakini kama anataka kusaidia walala hoi kweli basi ni vyema afuate ushauri wa paragraph ya mwisho wa ndugu HORSESHOE ARC.
Mkuu mimi nimevutiwa na hii kitu, niko Arusha, inawezekana?
Najibu la pili ndo linanihusu: Ukishajengewa mara moja ni basi. Unaweza kuitumia Green House hiyo hiyo kila mwaka kati ya miaka 5hadi 10.
Mimi nina eneo Kiluvya Daresalaam. Je panafaa kwa greenhouse?
Mkuu kabla ya ujenzi inafanyika soil analysis na water analysis kupitia maabara ili kujua virutubisho vilivyopo na kama kuna infection yoyote.
Unaweza kufanya Green House Kiluvya. karibu sana.